Wote hao ulowapiga nyingi ni matawi yenu ,GSM family, timu huru zimekufunga ,umesuluhu au umepata ushindi dhaifu wa papatu yaani Unga Unga mwana.
Kwa hio hoja ya kufunga magoli mengi ya kununua haina mashiko yoyote hapo.
Dawa ni kuimarisha kikosi tu, bado tunashida katika safu ya ushambuliaji, nafasi tunazotengeneza ni nyingi mno kulinganisha na timu yoyote katika ligi yetu wakipatikana watu sahihi wa kuzibadili nafasi hizo kuwa magoli ubingwa hauna mjadala.