MO Dewji mzalendo

MO Dewji mzalendo

MO kasoma IST(Int. school of Tanganyika) halafu mtu anakuja kusema kasoma shule za serikali.

Screenshot_2021-08-08-15-01-51.png
 
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..

Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!

Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Njaa mbaya sana.Naona umepata ajira
 
Wewe umerithi nini kwenu? Au watoto wako watarithi nini toka kwako?

Acha kua na fikra za kimasikini,Wahindi wana successful plan,watoto huendeleza mali za familia kuliko kila mmoja kuanza moja na ndio maana wanakua matajiri.

I bet mimi sio mjinga km Mo

Hata katika maisha ya kawaida na kuhusu kurithi muulize baba yangu na watoto wangu sio mimi.Kama umeelewa umeelewa

Kama ndo yale maZezeta a.k.a hench man pambana bro uache kusujudia wajinga

Mjinga na aambiwe ukweli
 
Huo werevu wako umemzidi nini Mo? Na ujinga wa Mo ni upi?

Naona umeamua kua mbunifu wa kujifariji,tafuta hela acha chuki za kishamba kiazi wewe.
 
I bet mimi sio mjinga km Mo

Hata katika maisha ya kawaida na kuhusu kurithi muulize baba yangu na watoto wangu sio mimi.Kama umeelewa umeelewa

Kama ndo yale maZezeta a.k.a hench man pambana bro uache kusujudia wajinga

Mjinga na aambiwe ukweli
Wewe Una akili kumzidi MO lakini Mo kakuzidi vitu vingine vyote (Fedha)..
 
Wahindi wajanja sana.Kuchu kuchu otae ipe ajira hiyo masikini ikatutetee na kutusemea mitandaoni.Njaa ikipanda kwenye ubongo utu unamtoka mtu
Wewe ndio mtu wa Kwanza nasikia hutaki Kazi ndugu!!!...kumbe mzanzibari hebu badilisha hili jina unadhalilisha wazanzibari
 
Kamzidi Urithi lakini siyo akili.Ukizidiwa wewe usifikiri kila mtu kazidiwa.Kama unasujudu kwa mtu kwa njaa zako usifikiri kila mtu anaweza kuwa hivyo.Heshimu mawazo ya mtu
Tunajivunia fedha na mafanikio,wewe na akili zako umezifanyia au imefanya nini kwenye family yako au jamii
 
Wewe umerithi nini kwenu? Au watoto wako watarithi nini toka kwako?

Acha kua na fikra za kimasikini,Wahindi wana successful plan,watoto huendeleza mali za familia kuliko kila mmoja kuanza moja na ndio maana wanakua matajiri.
Na wahindi hawategemei ajira, yaani wanawapa watoto wao maarifa ya kufanya biashara ila mswahili watoto wanapewa maarifa ya kucheza bao, draft kutwa kushinda vijiweni ukifika mda wa kula anaenda kula nyumbani au mwingine anakula skozi na juice siku imeisha
, kukwapua vitu, kuiba kuku wa watu na kumpeleka nyumbani na mzazi humsifia hata wakikamatwa mzazi hukinga kifua mwanangu sio mwizi. Huku uswazi chuma ulete ndio biashara ya uswazi.
 
Utumwa kutwa kujikomba kwa matajiri.
Tangu lini muhindi akawa mzalendo
Kama makampuni yake yanachangia 3.5 ya GDP ya Tanzania na watoto wako wanafaidika kwa kusoma shule za kata bure kwann tusimsifu na kumpongeza MO?! Hata mama yako nae tunamsifu anavyoweza kunyonya lombo vizuri,na baba yako alivyopoteza mirinda nae anastahili sifa!! Kila mtu apewe sifa zake
 
Labda wanafaidi watoto wako, mimi ninalipia gharama halisi
 
Mo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..

Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!

Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Waambie hao utopolo ukiona mtu anamshabikia manara na utoko wake ujue huyo ni maskini wa kipato na akili, maneno ya manara ni maneno ya mkosaji na msaliti, na mashabiki wa Simba wasiukubali huu mkenge wa wana utopolo the matopolozi pepe kale aliwavuruga kuwasifia mpaka sasa wanacheza boringo kama desturi yao. Nguchiro ni nguchro tu
 
Back
Top Bottom