Francis fares Maro
JF-Expert Member
- Jun 20, 2021
- 1,227
- 1,339
- Thread starter
- #41
MO kasoma IST(Int. school of Tanganyika) halafu mtu anakuja kusema kasoma shule za serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MO kasoma IST(Int. school of Tanganyika) halafu mtu anakuja kusema kasoma shule za serikali.
Njaa mbaya sana.Naona umepata ajiraMo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Nikutumie balance kidogo weekend hiiNjaa mbaya sana.Naona umepata ajira
Wewe umerithi nini kwenu? Au watoto wako watarithi nini toka kwako?
Acha kua na fikra za kimasikini,Wahindi wana successful plan,watoto huendeleza mali za familia kuliko kila mmoja kuanza moja na ndio maana wanakua matajiri.
Huo werevu wako umemzidi nini Mo? Na ujinga wa Mo ni upi?I bet mimi sio mjinga km Mo
Hata katika maisha ya kawaida na kuhusu kurithi muulize baba yangu na watoto wangu sio mimi.Kama umeelewa umeelewa
Kama ndo yale maZezeta a.k.a hench man pambana bro uache kusujudia wajinga
Mjinga na aambiwe ukweli
Kwenye elimu hapo sina uhakika kama kasoma shule zetu hizi, nasikia kasoma IST na US
Wewe Una akili kumzidi MO lakini Mo kakuzidi vitu vingine vyote (Fedha)..I bet mimi sio mjinga km Mo
Hata katika maisha ya kawaida na kuhusu kurithi muulize baba yangu na watoto wangu sio mimi.Kama umeelewa umeelewa
Kama ndo yale maZezeta a.k.a hench man pambana bro uache kusujudia wajinga
Mjinga na aambiwe ukweli
Wahindi wajanja sana.Kuchu kuchu otae ipe ajira hiyo masikini ikatutetee na kutusemea mitandaoni.Njaa ikipanda kwenye ubongo utu unamtoka mtuNikutumie balance kidogo weekend hii
Kamzidi Urithi lakini siyo akili.Ukizidiwa wewe usifikiri kila mtu kazidiwa.Kama unasujudu kwa mtu kwa njaa zako usifikiri kila mtu anaweza kuwa hivyo.Heshimu mawazo ya mtuWewe Una akili kumzidi MO lakini Mo kakuzidi vitu vingine vyote (Fedha)..
Wewe ndio mtu wa Kwanza nasikia hutaki Kazi ndugu!!!...kumbe mzanzibari hebu badilisha hili jina unadhalilisha wazanzibariWahindi wajanja sana.Kuchu kuchu otae ipe ajira hiyo masikini ikatutetee na kutusemea mitandaoni.Njaa ikipanda kwenye ubongo utu unamtoka mtu
Tunajivunia fedha na mafanikio,wewe na akili zako umezifanyia au imefanya nini kwenye family yako au jamiiKamzidi Urithi lakini siyo akili.Ukizidiwa wewe usifikiri kila mtu kazidiwa.Kama unasujudu kwa mtu kwa njaa zako usifikiri kila mtu anaweza kuwa hivyo.Heshimu mawazo ya mtu
Na wahindi hawategemei ajira, yaani wanawapa watoto wao maarifa ya kufanya biashara ila mswahili watoto wanapewa maarifa ya kucheza bao, draft kutwa kushinda vijiweni ukifika mda wa kula anaenda kula nyumbani au mwingine anakula skozi na juice siku imeishaWewe umerithi nini kwenu? Au watoto wako watarithi nini toka kwako?
Acha kua na fikra za kimasikini,Wahindi wana successful plan,watoto huendeleza mali za familia kuliko kila mmoja kuanza moja na ndio maana wanakua matajiri.
Wewe unaejua kiswahili uzalendo wako uko wapi, piga kazi acha chuki usifikiri kuna kontena la hela litaangukia hapo kwako.Waafrika huwa kama wamekata kichaa ... mtu baniani mnasemaje mzalendo wakati hata kiswahili hawezi
Kama makampuni yake yanachangia 3.5 ya GDP ya Tanzania na watoto wako wanafaidika kwa kusoma shule za kata bure kwann tusimsifu na kumpongeza MO?! Hata mama yako nae tunamsifu anavyoweza kunyonya lombo vizuri,na baba yako alivyopoteza mirinda nae anastahili sifa!! Kila mtu apewe sifa zakeUtumwa kutwa kujikomba kwa matajiri.
Tangu lini muhindi akawa mzalendo
Labda wanafaidi watoto wako, mimi ninalipia gharama halisiKama makampuni yake yanachangia 3.5 ya GDP ya Tanzania na watoto wako wanafaidika kwa kusoma shule za kata bure kwann tusimsifu na kumpongeza MO?! Hata mama yako nae tunamsifu anavyoweza kunyonya lombo vizuri,na baba yako alivyopoteza mirinda nae anastahili sifa!! Kila mtu apewe sifa zake
Kumbe na mashoga nao uwa mna watoto!!!Labda wanafaidi watoto wako, mimi ninalipia gharama halisi
Qyumma weweKumbe na mashoga nao uwa mna watoto!!!
Waambie hao utopolo ukiona mtu anamshabikia manara na utoko wake ujue huyo ni maskini wa kipato na akili, maneno ya manara ni maneno ya mkosaji na msaliti, na mashabiki wa Simba wasiukubali huu mkenge wa wana utopolo the matopolozi pepe kale aliwavuruga kuwasifia mpaka sasa wanacheza boringo kama desturi yao. Nguchiro ni nguchro tuMo
Kazaliwa Singida
Kasoma shule za serikali
Kawatumikia watu wa kijijini kwake
Kawekeza kwenye nchi yake
Simba SC ni mtoto tu kwake,tokea amaeanza kuwa mshabiki Hadi mwananachama na kisha mwekezaji ndani ya club hii pendwa ni Jambo la kheri na ikibidi asifiwe sana!!..
Kila kwenye neema hakukosi changamoto na ndio maana tunaona hii Ngoma inayojaribu kuchezwa sasa!!... Katika watu wote waliowekeza kwenye mpira au mashabiki tu nadhani MO ana sehemu yake katika historia ya mchezo huu wa miguu!!
Simba ni team kubwa na moja ya team zenye mafanikio barani Afrika na Duniani Kwa muda huu!!..
Acha kuita matajili kuwa ni matapeli,una mentality ya kilofa sana,tafuta pesa ujenge jina na sio kila siku kuwataja matajili ambao hawakujui,na hawajui kama kuna kiumbe kama wewe.Qyumma wewe