Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Huwa naona kumu_unfollow mtu baada ya viugomvi vidogo ni kukosa maturity..
Pambaneni on the ground hivi vitu vya mtandaoni ni kutaka attention na drama tu
Exactly, nilidhani ni watu makini.
 
Kutofuata=Unfollow, Fuata=Follow
Kutofuata kuwa unfollow si sahihi kwa maana halisi ilivyotumika, you were following someone then you unfollow him/her.
Bora ungeandika unfollow ni 'kusitisha kufuata'[emoji38][emoji38], Kiswahili kina upungufu sana wa vocabularies.
I stand to be corrected.
 
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] PlatinumzView attachment 1881539
Ujinga huu.. Yaani unamu-unfollow mtu kisa Manara wao? Walikuwa wanajisikia raha sana wakati Manara anawashambulia wengne... Sasa Manara kapiga NDANI KWAO wanahaha..!!! Wasisahau huyo wanayemu-unfollow naye ana wapenzi tena watumiaji wakubwa wa bidhaa zake..!!! WENGINE "WATAZI-UNFOLLOW" BIDHAA ZAKE..!! Vita ya kiuchumi hiyo wameianzisha
 
Mondi atakuwa na vita gani ya Uchumi na Moo kiujumla Mondi hakupaswa kumwambia Manara vile sababu waliokulipa ndio waliosema hapo Sana sana Mondi atakuwa amejihalibia KWA wanasimba ambao walikuwa wanampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…