Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Kutofuata=Unfollow, Fuata=Follow
Kutofuata kuwa unfollow si sahihi kwa maana halisi ilivyotumika, you were following someone then you unfollow him/her.
Bora ungeandika unfollow ni 'kusitisha kufuata'[emoji38][emoji38], Kiswahili kina upungufu sana wa vocabularies.
I stand to be corrected.
 
🤣🤣 Hata manara na Mo +BRB wameunfollowiana.

223374777_176483141209099_1366941416414374166_n.jpg
 
Huko twiter mambo yameanza mabosi wa Simba waanza kum unfollow Diamond [emoji184] PlatinumzView attachment 1881539
Ujinga huu.. Yaani unamu-unfollow mtu kisa Manara wao? Walikuwa wanajisikia raha sana wakati Manara anawashambulia wengne... Sasa Manara kapiga NDANI KWAO wanahaha..!!! Wasisahau huyo wanayemu-unfollow naye ana wapenzi tena watumiaji wakubwa wa bidhaa zake..!!! WENGINE "WATAZI-UNFOLLOW" BIDHAA ZAKE..!! Vita ya kiuchumi hiyo wameianzisha
 
Mondi atakuwa na vita gani ya Uchumi na Moo kiujumla Mondi hakupaswa kumwambia Manara vile sababu waliokulipa ndio waliosema hapo Sana sana Mondi atakuwa amejihalibia KWA wanasimba ambao walikuwa wanampenda
Ujinga huu.. Yaani unamu-unfollow mtu kisa Manara wao? Walikuwa wanajisikia raha sana wakati Manara anawashambulia wengne... Sasa Manara kapiga NDANI KWAO wanahaha..!!! Wasisahau huyo wanayemu-unfollow naye ana wapenzi tena watumiaji wakubwa wa bidhaa zake..!!! WENGINE "WATAZI-UNFOLLOW" BIDHAA ZAKE..!! Vita ya kiuchumi hiyo wamei
 
Back
Top Bottom