Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Unaweza ukawa uko sahihi japo bado sijajiridhisha kwenye hilo la kuwa kina maneno/misamiati ya kutosha.
 
Wapi ambapo mondi ametangaza vita na Mo? Tuanzie hapo kwanza
 
"mambo ni tofaut Kwa silent killer kama Bakhresa"


[emoji106]
 
Pumba tupu.
 
Mzee Mond Hana vita yyte na Mwamed...hii umetoa wapi ww?
 
Hebu tuirejee post ya Diamond:-

Sasa kuna kipi hapo kibaya alichoongea?! Hajamsema Mo wala kademu kake! Hajaisema Simba wala kukejeli kutimuliwa kwa Manara!! Alichofanya ni kuonesha masikitiko yake kutokana na kuondoka na wala sio kutimuliwa kwa Manara! Na alichosema ni ukweli mtupu! Tofauti na Ally Kiba ambae ni mpenzi na mchezaji wa soka, Diamond haonekani kuwa mpenzi wala shabiki wa soka. Majority tulikuja kufahamu kumbe nae ni Simba juzi tu hapa kutokana na huyo Manara!!

Binafsi sijaona baya lolote alilosema zaidi ya utoto utoto wa Mudy na Demu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…