Mo Dewji na Barbara wam-unfollow Diamond na Manara

Ona hili nalo, U team unawafanya mnawaza ujinga
 
Mondi atakuwa na vita gani ya Uchumi na Moo kiujumla Mondi hakupaswa kumwambia Manara vile sababu waliokulipa ndio waliosema hapo Sana sana Mondi atakuwa amejihalibia KWA wanasimba ambao walikuwa wanampenda
Yaa yani kiufupi Sadala ameamua kuchagua upande ambao ni wa manara,.
 
Na nnavyosikia ni kwamba mond kamchukua manara pale wasafi fm, unategemea mo amejisikiaje baada ya kupata taarifa kama hizi? yaani manara ampe utangazaji ofisini kwake unategemea atamuongeleaje mo!! Mo na yeye ni binadamu sometimes inakera!! myonge wamnyonge lakini haki wampe.., na hili la haji kwenda wasafi ndio lililomkimbiza hata kitenge
 
[emoji1787][emoji1787] Hata manara na Mo +BRB wameunfollowiana.

Kutofuata=Unfollow, Fuata=Follow
kwahiyo angeandika hawajafuatana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata hainogi
ndio mana bibie hapo hapo juu kaona isiwe tabu kaweka msamihati wake hapo "WAMEUNFOLLOWIANA "
 
Hata Kama sadala kamchukua manara kwenye radio yao ndio mwamedi achukie kama n kwel jamaa ka mind icho kitu bas mwamedi atakuwa billionaire wa kwanza kuwa na roho ya kimaskin..kwaiyo alitaka manara baada yakuondoka simba asipate kazi kwingine daaaah
 
Na ndio maana Majizzo nae kamrudisha Kitenge. Mo amewekeza pesa pale na toka amechukua team kwanmiaka minne mfululizo imekuwa ikitwaa makombe na kupanda nafasi Ila miswahili ndio ilivyo.
 
According to Manara ni kwamba alimshawishi sana kwani hakuwa na interest na mambo ya mpira na pia alikuwa hayajui na wala hayafuatilii.
Hii inamaana kabla ya ushawishi wa Haji Manara labda angeweza kuwahiwa na mtu wa timu nyingine na akashawishiwa labda angekuwa shabiki wa timu nyingine.
Labda
Labda
Just thinking.
 
Hata Kama sadala kamchukua manara kwenye radio yao ndio mwamedi achukie kama n kwel jamaa ka mind icho kitu bas mwamedi atakuwa billionaire wa kwanza kuwa na roho ya kimaskin..kwaiyo alitaka manara baada yakuondoka simba asipate kazi kwingine daaaah
Labda alitaka asote ili arudi kumpigia magoti.
 
Mo ni mmoja wa Tajiri wa ovyo kuwahi kutokea nchini.

Acha mzee Baharesa na Marehemu Zakaria waendelee kuheshimika tu
 
Hata Kama sadala kamchukua manara kwenye radio yao ndio mwamedi achukie kama n kwel jamaa ka mind icho kitu bas mwamedi atakuwa billionaire wa kwanza kuwa na roho ya kimaskin..kwaiyo alitaka manara baada yakuondoka simba asipate kazi kwingine daaaah
Ulishawahi kuwa bilionea? Naona unaexperience ya nini cha kufanya
 
Hapo sasa na connect dots kabisa😅 kumbe ndio maana Kitenge karudi Efm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…