Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

Fresh sana Kanji awanaga mbwembwe.
angekua tajiri mweusi cheni ya tani kumi kifuani inaning'inia,hereni masikioni,nywele zimepakwa rangi ya mavi n,k.

R.I.P American spirit Le Kubwaz.
Humjui Dewj wewe, ana show off kishenzi.
Shida ni mpaka uwe mjanja maana huwa anafanya kijanja...

Ngoja nikueleweshe, huwa anavaa designer... akivaa hata mkanda tu atahakikisha unaonekana tujue ni LV, na viatu vyake vilevile.
Kuwa makini kumfuatilia utajua, hasa akivaa vipya.
 
Mpaka ugundue kama anafanya show off ila wale wauza magodoro nyumba moja kila mwaka inatolewa zawad ya birthday kwa zamu mwaka huu mke mwaka ujao mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…