Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

Humjui Dewj wewe, ana show off kishenzi.
Shida ni mpaka uwe mjanja maana huwa anafanya kijanja...

Ngoja nikueleweshe, huwa anavaa designer... akivaa hata mkanda tu atahakikisha unaonekana tujue ni LV, na viatu vyake vilevile.
Kuwa makini kumfuatilia utajua, hasa akivaa vipya.
Kumfuatilia mwanaume kiasi hiki lazima uwe mwanamke mwenye uhitaji sana.
 
Kumfuatilia mwanaume kiasi hiki lazima uwe mwanamke mwenye uhitaji sana.
Dewj ni mtu maarufu, kuna ajabu gani kumfuatilia? Na huwa simfuatilii katika page yake...
Kila anachovaa ambacho ni designer brand lazima kiwekwe kwenye page za fashion ambazo ndizo ninazozifuatilia, umeelewa sasa?
Usiwe unakurupuka wakati mwingine.
 
Umejuaje kama anavaa brand kama humfatilii?
Waswahili tupunguze umuhimu kwenye maisha ya watu
 
Huyo wa kiume ndio first born!
Usikute ni rafiki tu au mtu wa karibu na familia.
Hawa matajiri kuna muda unakuta wana urafiki au ukaribu na mtu wa kawaida kabisa.

Kuna tajiri mmoja (sio mtanzania) niliendaga kwake kulikuwa na kazi, nikamkuta jamaa mmoja ambaye tunajuana. Nikaona wanapiga stori, tajiri anasema wabongo noma! amewakopesha watu fulani kwa makubaliano walipe lakini waliofanikiwa kulipa ni wachache tu.

Jamaa akawa anamuuliza umewapigia simu kuwakumbusha? Tajiri akasema sijawapigia, sijui labda fulani (anamtaja jina) aliwapigia.
Jamaa akasema kwa sisi watanzania tulio wengi tukikopa pesa huwa hatulipi bila kukumbushwa sana, halafu tunajifanya tulisahau.

Tajiri akamuuliza jamaa kwa hiyo hata wewe nikikukopesha hulipi kwa hiari? Mwamba akasema kwani mimi ni mzungu! Tukawa tunacheka tu pale. Sasa tajiri anamuuliza mshikaji tuwafanyaje hawa?
Mwamba akasema hata usiwasumbue, wewe dili na waliofanikiwa kulipa endelea nao kuwakopesha.
 
Dewj ni mtu maarufu, kuna ajabu gani kumfuatilia? Na huwa simfuatilii katika page yake...
Kila anachovaa ambacho ni designer brand lazima kiwekwe kwenye page za fashion ambazo ndizo ninazozifuatilia, umeelewa sasa?
Usiwe unakurupuka wakati mwingine.
ila beste wee wamoto sana!
 
Back
Top Bottom