Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Sion kama Kuna haja ya kuongelea maisha ya mtu, Tena sio mwanasiasa harafu maisha ya familia yake. Hebu tuheshimu privacy za watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanza, hii picha umeipata wapi?
Ahhh haaa mtandaoniNgoja kwanza, hii picha umeipata wapi?
Haswaa, kama ulikuwepo.Kwamba ulimzaa wewe hapo singida na gujarati umempiga marufuku asifike
Mgonjwa ghali zaidi kuwahi tokea katika historia ya TanganyikaHaswaa, kama ulikuwepo.
Gujarati kutokea Tanzania tunawapeleka kina Ndugai tu wakatibiwe magonjwa yasiyosemwa Tanzania.
😆😆😆😆eti hasa akivaa vipyaHumjui Dewj wewe, ana show off kishenzi.
Shida ni mpaka uwe mjanja maana huwa anafanya kijanja...
Ngoja nikueleweshe, huwa anavaa designer... akivaa hata mkanda tu atahakikisha unaonekana tujue ni LV, na viatu vyake vilevile.
Kuwa makini kumfuatilia utajua, hasa akivaa vipya.
Hapo ndipo akili yako ilipoishiaDewj ni mtu maarufu, kuna ajabu gani kumfuatilia? Na huwa simfuatilii katika page yake...
Kila anachovaa ambacho ni designer brand lazima kiwekwe kwenye page za fashion ambazo ndizo ninazozifuatilia, umeelewa sasa?
Usiwe unakurupuka wakati mwingine.