Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

Sion kama Kuna haja ya kuongelea maisha ya mtu, Tena sio mwanasiasa harafu maisha ya familia yake. Hebu tuheshimu privacy za watu.
 
Sio wake hao .......jamaa alisema ana mabinti 2 tu.........na wote wako na nywele kama zake sio hao
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†eti hasa akivaa vipya
 
Dewj ni mtu maarufu, kuna ajabu gani kumfuatilia? Na huwa simfuatilii katika page yake...
Kila anachovaa ambacho ni designer brand lazima kiwekwe kwenye page za fashion ambazo ndizo ninazozifuatilia, umeelewa sasa?
Usiwe unakurupuka wakati mwingine.
Hapo ndipo akili yako ilipoishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…