Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Nakazia "waanzishe timu zao"
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono wanaweza kukuza brand zao na maisha yakasongaHizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili).
Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote.
Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mtu hachangii hata mia kwenye timu ila anamtukana mfadhili aliyetoa bilioni 41 kwa kipindi cha miaka 4 tu.
Hasa Mwamedi.Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili).
Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote.
Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mtu hachangii hata mia kwenye timu ila anamtukana mfadhili aliyetoa bilioni 41 kwa kipindi cha miaka 4 tu.
Unaweza kutengeneza timu kali sana ikashinda makombe yote lakini ikakosa wapenzi kindakindaki watu wakabakia na simba na yanga yao na kulaumiana tuHuwezi kupata mashabiki bila kushinda mataji
Ukifanya vzr kwa miaka 15 hadi 20 lazma utatengeneza mashabiki.Unaweza kutengeneza timu kali sana ikashinda makombe yote lakini ikakosa wapenzi kindakindaki watu wakabakia na simba na yanga yao na kulaumiana tu
NakaziaMkianzisha timu zenu ligi yetu itakuwa na timu tano kubwa:
1.Yanga
2.Simba
3.Azam
4.Mo FC
5. GSM FC
Bila kuwasahau Mtibwa na Kagera Sugar.
Unaikumbuka African Lyon baadae Singida United?Hizo Yanga na Simba waachieni kina Mpili na Manara (Waswahili).
Bakhresa aliona mbali akaanzisha timu na uwanja wake. Yupo huru kutumia hela yake pasipo majungu yoyote.
Yanga na Simba mtapoteza hela zenu na mwisho mlipwe matusi na dharau kutoka kwa maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mtu hachangii hata mia kwenye timu ila anamtukana mfadhili aliyetoa bilioni 41 kwa kipindi cha miaka 4 tu.
Umeandika ukweli.Azam alishafeli kwa kuiga siasa za simba na yanga, ila angekua anachukua mataji, anafanya vizuri mashindano ya CAF mashabiki wengi tungehamia kwake!
kuna kampuni imewahi kufanya utafiti wa loyalty in sports especially football, wakagundua only 15% ya mashabiki ni loyal, wengine hufuata mafanikio, na hii ina apply hata bongo!
kama liverpool, utd na arsenal zimepoteza mashabiki kwa city na chelsea, bila shaka hata Azam angekua serious tusingekua hapa........ tatizo wabongo tunaendesha timu kisiasa kisha tunaishia kuilaumu tff
watu wengi tulifurahia ujio wa Azam, lakini wakaiga siasa za simba na yanga kusajili majina.... ikaja mbeya city watu tukafurahi nao siasa za hapo mbeya za ccm na chadema zikawaponza wakapoteana!Huwezi kupata mashabiki bila kushinda mataji