Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
It would have been easy for Mo to give it ti us as a translated version of the orginal article. As a repreentative of the people being accused of plagiarism is quite nasty - surely, Mo owes all readers and the original author an apology.
OK, OK people.
Hata mimi sipendi plagiarism. Huyo anayeitwa Mo kashakuja na kuomba radhi. Kama waungwana wenye class, elegance na grace (at least I aspire towards those qualities) tunatakiwa kusamehe na ikibidi kusahau na kuchangia content, si swala la plagiarism.
Hata makamu wa rais wa Marekani bwana Joe Biden aliwahi ku plagiarize speech ya kiongozi wa chama cha siasa UK cha Labor Neil Kinnock, lakini alikubali kosa kiungwana na amesamehewa, akapata nafasi ya kugombea urais, akateuliwa na Obama kugombea naye kama makamu wa rais na sasa ni makamu wa rais, anaheshimika vizuri tu kwa michango yake mingine.
Si afadhali hata ya huyo Mo anayejisumbua kusoma NYT na kuengage na wapiga kura hapa, kuna wabunge hata kujieleza tabu na kushika kicharazo ni ngoma.
Mbunge Mo ameonyesha humility na kujifunza kwa kukiri udhaifu, si busara ku rub in hili suala la plagiarism.
Inakuwa kama tunakuwa na schadenfreude.