Mo Dewji nakuheshimu, ila unakoelekea sasa utaharibu na utaanza hata Kutukera na Sisi tunaokubali 'Kutukanwa' kwa ajili ya Kukutetea Mitandaoni

Bakhresa amemwaga mipunga kufadhili vpl lakini ulishakaa ukamuona kwenye press akilizungumzia hilo?

Pesa huwaga zinaingea siku zote hata kama ukizifukia chini....

Huyo tajiri wenu mswahili kishenzi
 
Hata mimi nimeamini tuhuma za Manara kwa kitendo cha jana, Mo licha ya kusoma nje Bado ana vitabia vya ajabu ajabu. Bora apige kimya maana anajizalilisha sio yeye na timu yetu ya Simba
Naona mmepiga u turn fasta.

Mtu anayelipa wafanyakazi wake 3000 per day unategemea jipya gani kutoka kwake.

Me nakuambia time will tell.
 
Hili suala nadhani serikali itusaidie! Kama Moo anaidai simba sc, je yeye anadaiwa kiasi gani kwa matangazo yake anayoweka kwenye jezi ya simba sc. Itafika wakati atatusumbua halafu ajifanye anaidai simba pesa nyingi ili wawekezaji wengine washindwe kuchukua hisa
 
kuna baadhi ya matangazo aliingiza kwa mkataba..nimesahau ni ipi kat ya zile tatu ktk jezi ila mojawapo ilisainiwa kwa mkataba wa 250 million kwa mwaka mmoja na Fatma Dewji,ni mwaka jana nadhani..

Lkn pia anaweza kudai pesa zake kwani hatujui makubaliano na wanabodi alizitoa ikiwa anajua zitarudi vipi..may be kuna viongozi alikua anawasainisha..

Kwani Sued Mkwabi alijiondoa kwa sababu zipi?
 
Naona mmepiga u turn fasta.

Mtu anayelipa wafanyakazi wake 3000 per day unategemea jipya gani kutoka kwake.

Me nakuambia time will tell.
Sasa ulitaka alipe milion si analipa kulingangana na biashara ilivo sokoni, hata ingekuwa wewe unaangalia faida yako kwanza na sio wengine
 
Tajiri mafi huyu

Dr Edward ngoyai lowasa
alitukanwa nchi zima na wanaccm na upinzani kwapamoja alikaa kimya kabisa lakini ndomtu anapendwa na watanzania woooooote ccm na upinzani kwapampoja

Yeye MTU mmoja naye anaulemavu

Tulia Fanya mambo yako
 
Tumsamehe tu wakuu yatapita naye ni binadamu Ila katukosea sana sikuamini kama ni yeye..
 
Bodi imedhibiti
Mbona Elon Musk kadhibitiwa na bodi, kila anachotaka post lazima waverify
 
Ni kweli mo kakosea, lakini haihalalishi upuuzi anaofanya haji!
Tujikite kwenye kukemea chanzo cha mgogoro na sio kuendeleza.
 
Ni kweli mo kakosea, lakini haihalalishi upuuzi anaofanya haji!
Tujikite kwenye kukemea chanzo cha mgogoro na sio kuendeleza.
Haji kakosea na mwovu na yeye Mo kupanic kumempa bichwa Manara na Mo kujibu kumemfanya aonekane yeye ndio ana makosa
 
Mo kapaniki, haimfanyi yeye kua chanzo cha mogogoro. Mgogoro kaanzisha haji kwa maslahi yake binafsi.
Haji kakosea na mwovu na yeye Mo kupanic kumempa bichwa Manara na Mo kujibu kumemfanya aonekane yeye ndio ana makosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…