Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

Wengine wanaweza wasijue utajiri sio shule wananwatu wao huwatumia kufanya analysis

Ila hili sakata la simba na yanga kuachiana kubeba makombe huwa inanipa wasiwasi kuna siasa ndani yake

Yani akibeba mwenzake 4yrs au 5yrs unaona na pacha wake anaachwa naye atabeba kwa miaka ayliyobeba mwenzake
Sio kweli kaka, ingekuwa hivyo YANGA asingebeba mara 29 SIMBA mara 21. Hakuna uwiano kabisa
 
Ila umeandika uongo, tambo na majigambo. Mheshimiwa "Akilinyingi Malikidogo"🤣🤣
 
GENTAMYCINE hapa umetudanganya sana hakuna kitu kama hiko TISS WALA CCM.
Hapo anachodai Mo ni mchakato wa mabadiliko kuna masharti/vigezo bado hayajakamilika

Ni kama katiba kwamba kwa sheria za sasa ukiwa pesa yako unapoteza muda kwasababu mwekezaji hana nguvu wala taratibu hazimlindi
 
Back
Top Bottom