Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Wewe utakua komandoo tuBinafsi sikubaliani na MO kupewa simba, hii lugha anayosema Leo ni lugha ya kuvutia tu sio uhalisia.. Atueleze kwa nini alishindwa kwa African Lyon...!
Aiseee!Sis simba hatutaki hilo tunachotaka ni kuendelea kuizomea Yanga tu wazee wa 3
huo n ukwel mtupu na ndio watu hawatak kuusikiaSimba ni club ambayo ni association ambayo ni mali ya wanachama na sii kampuni mtu ajitokeze kununua hisa. Ila ndani ya klabu inaweza kuanzisha a subsidiary public company ya SSCC isajiliwe kama Public Company ifanye IPO ya 51% stake ya hiyo IPO ndio issued kwa MO kwa hizo bilioni 20 zake halafu ile 49 stake inabaki kwa wanachama. Vinginevyo katiba ya SSC ibadilishwe kutoka club iwe kampuni, na hizo shares ziwe floated kwa public MO azinunue kama deserving na sio kuuziwa kwa preferential.
pasco
Azam Yanga ziko vzr pia zinasaidia katka soka la bongo...Simba pia ikiwa fit nadhani timu nyingine na uwekezaji kama wa Mo unaweza tokea..Mpira ni Pesa sio ndumba sasa wabongo wajue..Tatizo la Simba sio pesa, tatizo la Simba ni uwekezaji kwa wachezaji wanaostahili kuchezea Simba. Menejimenti iliyopo pia ni tatizo, ni aibu kwa klabu kama Simba wachezaji kulalamikia mishahara.
Na hauwezi kuinua soka la bongo kwa kuiwezesha Simba. Tunatakiwa tupate timu nyingine kama Azam, ili kuongeza ushindani. Hizi billion 20 ni nyingi sana kama anapenda kuwekeza katika soka. Lakini kuna nini anachokihitaji Simba zaidi ya black markets?
Simba ni club ambayo ni association ambayo ni mali ya wanachama na sii kampuni mtu ajitokeze kununua hisa. Ila ndani ya klabu inaweza kuanzisha a subsidiary public company ya SSCC isajiliwe kama Public Company ifanye IPO ya 51% stake ya hiyo IPO ndio issued kwa MO kwa hizo bilioni 20 zake halafu ile 49 stake inabaki kwa wanachama. Vinginevyo katiba ya SSC ibadilishwe kutoka club iwe kampuni, na hizo shares ziwe floated kwa public MO azinunue kama deserving na sio kuuziwa kwa preferential.
pasco
Kuna kitu kinaitwa FAN BASE, huwezi linganisha timu yoyote hapa E. Afrika na Simba au Yanga, zina mtaji tayari wa mashabiki, ni jinsi ya kuwatumia tu, A.Lyon alishindwa sababu timu haina Fan Base, hata Azam yenyewe haina mashabiki isipokuwa wa mkopo, wakicheza na yanga wanapata wa simba na wakicheza na simba wanapata wa yanga!Binafsi sikubaliani na MO kupewa simba, hii lugha anayosema Leo ni lugha ya kuvutia tu sio uhalisia.. Atueleze kwa nini alishindwa kwa African Lyon...!
Unaweza sema hivyo, ila kuwekeza simba na kama wewe ni majority shareholder, mtaji unarudi haraka sana! Simba ni brand ambayo watu wameshindwa kuitumia, nina uhakika Mo ataweza na atafaidika yeye pamoja na timu.Huyu ndo katangaza kugawa nusu ya utajiri wake..
Karibu Tsh bilioni 600,,
bora ajenge vyuo vikuu na mahospitali,atabakiza legacy ya kudumu hapa duniani
hisa ziuzwe wazi, si ajabu bakhresa akaweka mzigo wake, binafsi japo yanga nitanunua kama uwekezaji......Simba ni club ambayo ni association ambayo ni mali ya wanachama na sii kampuni mtu ajitokeze kununua hisa. Ila ndani ya klabu inaweza kuanzisha a subsidiary public company ya SSCC isajiliwe kama Public Company ifanye IPO ya 51% stake ya hiyo IPO ndio issued kwa MO kwa hizo bilioni 20 zake halafu ile 49 stake inabaki kwa wanachama. Vinginevyo katiba ya SSC ibadilishwe kutoka club iwe kampuni, na hizo shares ziwe floated kwa public MO azinunue kama deserving na sio kuuziwa kwa preferential.
pasco
Mfanyabiashara kijana na mwenye mafanikio makubwa nchini, Mohammed Dewji amesema angependa kuwekeza Simba ili kubadili mfumo.
Dewji maarufu kama “MO”, amewaambia waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo jijini DAr es Salaam kwamba bajeti ya Yanga na ile ya Azam FC ni mara mbili ya ile ya Simba, jambo linaloifanya klabu hiyo kuendelea kubaki kuwa msindikizaji.
Tayari Mo amesema yuko tayari kutoa Sh bilioni 20 ili kununua hisa asilimia 51 na kuwekeza ndani ya Simba.
“Kama unataka mafanikio kwenye mpira, hakuna zaidi ya fedha. Simba haiwezi kuwa na miaka 80 leo haina hata uwanja wa mazoezi.
“Unajua kama nikiwekeza fedha hizo, tunaweza kuzipeleka kwenye mkopo na kuikopesha serikali. Baada ya hapo tutapata faida ya dola bilioni 7.5 ambazo tutaziingiza kwenye maendeleo.
“Mimi ninaamini Simba haiwezi kubadilika kwa kuwekeza kwenye bajeti ya Sh milioni 500 kwa mwaka. Haitawezekana, ndiyo maana nimekuwa nikisisitiza, kwanza Simba inahitaji muwekezaji na si mdhamini.
“Nisisitize hili,mimi ni mwanachama wa Simba, ninaumia kuona timu hii inakwenda hivi. Ndiyo maana ninaingia nikiamini nitaweza kubadilisha mambo kwa kushirikiana na wanachama wa Simba ili kuleta mabadiliko katika klabu yetu.”
Nami nipo Mbeya City sasaHizi timu kongwe zinachosha, mi niko Mwadui Fc mwaka wa tatu huu. Na tuna ndoto ya kuchukua kombe la ligi au Fa.