MO Dewji: Nataka kuwekeza bilioni 20 Simba

n
Apewe tu simba inachukiza kwakweli kila siku tufungwe sie
nilikuwa naipenda sana simba ila kwa sasa naichukia sana japo siwezi kuhama,naposikia eti bonge la mchezaji kasjiliwa mara bonge la mshambuliaji haijawahi tokea,wananiudhi sana sijui kwa nini hawa viongozi wasife ukafanyika uongozi upya,i hate these leaders aiseeeeeeh
 
club ina miaka zaidi ya 70 maendeleo sifuri..bora mo apewe hiyo timu

Tatizo sio Simba Peke yake. Siasa za nchi zimeua kila kitu..mabadiliko ya siasa na uchumi hazikuangalia athari secta nyengine. Miaka ile ya 70 na 80 timu zetu zilanza kufanya vizuri sana..
kuja mabepari uchwara nao wakayumbisha soka kwa kutaka sifa binafsi nafasi ya kufanya biashara zao.

sasa hivi simba imechagua viongozi wasio kuwa na historia ya mpira..hili ndio tatizo kubwa.
tunahitaji kufanya mabadiliko ya uongozi.. Kuna matatizo ya TFF kuwa chama kama mafia , Badi sielewi wanatumia vogezo gani kuchuja majina ya wagombea uongozi simba.
Kwa sasa kuna haja ya Rage arudi simba pamoja na wambura
wanachama waache kuburuzwa kwa visenti kuchagua makundi na viongozi wabovu halafu tunakuja kulaumu laumu timu haifanyi vizuri.
Tuchague viongozi wanaofaa, ikiwezekana tubadilishe katiba kuweka vigezo vigumu kupata uongozi
haya mabo ya kuiuza timu hii kubwa haina mshiko hii sio kampuni ni club inayomilikiwa na wanachama na chini ya wadhamini wa club..na imeandikishwa kama club ya michezo sio kampuni ambayo ina hisa za kuuza
 
Binafsi sikubaliani na MO kupewa simba, hii lugha anayosema Leo ni lugha ya kuvutia tu sio uhalisia.. Atueleze kwa nini alishindwa kwa African Lyon...!
Mo amejibu kuwa yeye ni mfanyabiashara na aliwekeza African Lyon pesa nyingi lakini akiingia uwanjani wakati timu yake inacheza anakuta mashabiki sits tu,hilo lilimnyima raha na ndio maana akaamua kuiuza African Lyon japokuwa bado ilikuwa ipo ligi kuu.Anachoamini kuwa kwa kuwekeza kwake Simba,atafaidika na klabu pia itafaidika kwa sababu Simba ina mashabiki wengi.

NB:Mo Simba wakikukataa njoo Yanga uungane na Manji tuijenge timu yetu iwe tajiri kama PSG.
 
Azam kapata wapi mashabiki
 
Umeona mkuu huyu jamaaa anataka kujitajirisha kupitia sis mikia
Atajirike mara ngapi?? Mwanachama na shabiki wa simba zaidi ya kusheherekea ushindi una faida gani ya ziada, apewe tu,
IN MO WE TRUST
 
Naunga Mkono Simba Kubaki kama ilivo. Kama Dewji ana Talent za uongozi na yeye ni mwanachama wa simba anaruhusiwa kuogombea Uongozi ili afanye maendeleo anayo kusudiwa. Njia Nyengine ni kui sponsor Simba kwa udhamini wa muda mrefu .
Kuuza Simba kwa yeye kuimiliki hilo haliwezekani. Mimi ni mwanachama wa simba na mtu wa kwanza kwenda mahakamani kupinga hatua hii.
Simba ni timu ya wazee wetu wa Dar es salaam ..Pamoja na Yanga na Coastal Union na African Sports zina Historia za kipekee katika siasa za nchi hii tangu enzi za Kugombea Uhuru.
wazee wale waliziongoza timu hizi kwa mafanikio makubwa na ikawa ndio chachu ya maendelo ya Footbal Tanzania.
Simba ni Priceless..huwezi kuithamini kwa fedha kabisa. Ni club ambayo imeweza ku survive zaidi ya Miaka 70 ya dharuba kwa muundo wake huu huu uliopo ambao ni kuwa chini ya wanachama na wapenzi.
How much is share ya Club hii ?'
Na jee nani atakua beneficiary wa hizo share Jee wajukuu wa waanzilishi wa Simba au matapeli kina Hanspope na Aveva ?
Ni wa zi Simba sio Africa Lyon ambayo Dewji ilimshinda kuindesha kwa sababu moja tu..hakua tayari kuwekeza kama alivo ahidi.

Tunamshauri yeye na wote wanaopokea Rushwa waache ndoto zao halitawezekana kabisa hili.....bora simba ife kabisa kuliko kuuziwa mtu mwenye malengo ya kuifanya simba brand ya biashara yaek. Na hakika Tunaomba TAKUKURU Wachunguze wale wote wanaoshabikia hili kwani kuna kila dalili wanapokea rushwa kufanikisha mpango huu haramu
SIMBA NI YA WATANZANIA WAPENZI HAIWEZI KUUZWA NA HAITAUZWA..
Naona mzee unapigania ugali wako, ila ujue hamna namna tumechoka kuishi kimazoea miaka 80 hata kiwanja km cha ndondo cup hatuna halafu unasema simba ibaki kama ilivyo duuhh hii yako ni zaid ya roho mbaya, sisi wanachama na washabiki wa simba tunataka mo apewe timu maana tokea hapo mwanzo hatuna faida tunayopata zaidi ya kusherehekea ushindi shida yetu heshima, pole sana naona dili zinaelekea kuzimu maana MO ashawaovertake mlimani
 
Simba ni club ambayo ni association ambayo ni mali ya wanachama na sii kampuni mtu ajitokeze kununua hisa. Ila ndani ya klabu inaweza kuanzisha a subsidiary public company ya SSCC isajiliwe kama Public Company ifanye IPO ya 51% stake ya hiyo IPO ndio issued kwa MO kwa hizo bilioni 20 zake halafu ile 49 stake inabaki kwa wanachama. Vinginevyo katiba ya SSC ibadilishwe kutoka club iwe kampuni, na hizo shares ziwe floated kwa public MO azinunue kama deserving na sio kuuziwa kwa preferential.
pasco
Umeongea vizuri sana, lakini kadri ilivyo, Simba ili itoke ilipo, inahitaji kuwekeza, na mpira wa sasa ni fedha tu. Haya mambo ya WANACHAMA tu hayawez kutufukisha popote. Ukiona Yanga wanaperform ujue Mwenyekiti wake Manji anatoa hela ya kutosha sana.
Kiukweli Simba kama wako makini wasikubali kuacha hiyo Golden Chance. Cha msingi ni kuzingatia Win-Win Situation, yaani kila upande unufaike!
 
Azam ina washabiki gani?kiuhalisia? Hawafiki hata 2000 wale ni wapenda soka kadhaa na wengine ni wa Yanga na Simba ambao huhama kutegemea na team husika. Pia wamekuwa wakinunuliwa. Mwisho wa siku mashabiki wapo simba na yanga. Tupende tusipende.mengne ni kujifurahisha tu.

Ametoa utetezi kua, Aliachana na African Lyon, sababu alienda uwanjani akakuta Timu haina mashabiki, mbona AZAM imeweza, imepata wapi mashabiki.. Anatikiwa kujichunguza zaid
 
Tatizo sio Simba Peke yake. Siasa za nchi zimeua kila kitu..mabadiliko ya siasa na uchumi hazikuangalia athari secta nyengine. Miaka ile ya 70 na 80 timu zetu zilanza kufanya vizuri sana..
kuja mabepari uchwara nao wakayumbisha soka kwa kutaka sifa binafsi nafasi ya kufanya biashara zao.

sasa hivi simba imechagua viongozi wasio kuwa na historia ya mpira..hili ndio tatizo kubwa.
tunahitaji kufanya mabadiliko ya uongozi.. Kuna matatizo ya TFF kuwa chama kama mafia , Badi sielewi wanatumia vogezo gani kuchuja majina ya wagombea uongozi simba.
Kwa sasa kuna haja ya Rage arudi simba pamoja na wambura
wanachama waache kuburuzwa kwa visenti kuchagua makundi na viongozi wabovu halafu tunakuja kulaumu laumu timu haifanyi vizuri.
Tuchague viongozi wanaofaa, ikiwezekana tubadilishe katiba kuweka vigezo vigumu kupata uongozi
haya mabo ya kuiuza timu hii kubwa haina mshiko hii sio kampuni ni club inayomilikiwa na wanachama na chini ya wadhamini wa club..na imeandikishwa kama club ya michezo sio kampuni ambayo ina hisa za kuuza
rage alipokuwa simba amefanya nini zaidi ya wizi tu? Club kubwa ulaya mfano chelsea. T.P.Mazembe..PSG zinamilikiwa na watu binafsi na zinafanya vizuri...Hata Azam kama sio Bahresa kuimiliki ingeshakufa siku nyingi ...SIMBA sasa hivi haina tofauti na NDANDA FC
 
Sema ktk kipindi cha miaka 10, ila Azam haina mashabiki, unaowaona ni wa mkopo.
Azam ina mashabiki wote mchanganyiko wa simba na yanga ndugu....mashabiki hawana mchango wowote kwa timu kufanya vizuri..YANGA pamoja na kuingiza mashabiki bure uwanja umejaa wakapigwa na T.P Mazembe...
 
Simba ni club ambayo ni association ambayo ni mali ya wanachama na sii kampuni mtu ajitokeze kununua hisa. Ila ndani ya klabu inaweza kuanzisha a subsidiary public company ya SSCC isajiliwe kama Public Company ifanye IPO ya 51% stake ya hiyo IPO ndio issued kwa MO kwa hizo bilioni 20 zake halafu ile 49 stake inabaki kwa wanachama. Vinginevyo katiba ya SSC ibadilishwe kutoka club iwe kampuni, na hizo shares ziwe floated kwa public MO azinunue kama deserving na sio kuuziwa kwa preferential.
pasco
Kwa hali ilivyo ni bora klabu ibadilishwe iwe Kampuni kuliko kuwa kichaka cha makomandoo.
 
Azam ina mashabiki wote mchanganyiko wa simba na yanga ndugu....mashabiki hawana mchango wowote kwa timu kufanya vizuri..YANGA pamoja na kuingiza mashabiki bure uwanja umejaa wakapigwa na T.P Mazembe...
Sijasema mambo ya mchango wa washabiki, nimesema kitu kipo clear na wewe pia unajua, Azam haina mashabiki kama Simba na Yanga, hutaki acha!!
 
Azam ina mashabiki wote mchanganyiko wa simba na yanga ndugu....mashabiki hawana mchango wowote kwa timu kufanya vizuri..YANGA pamoja na kuingiza mashabiki bure uwanja umejaa wakapigwa na T.P Mazembe...
Unaandika ujinga gani wew
Unajua nguvu ya Fan Base?Manchester united wameingiza £70m + kwa mauzo ya jezi ya Ibrahmovic
Bila ya fan base kubwa wangeweza hilo??
Hakuna timu kubwa duniani isiyotumia mtaji wa uwingi wa mashabiki wake
 
Naunga Mkono Simba Kubaki kama ilivo. Kama Dewji ana Talent za uongozi na yeye ni mwanachama wa simba anaruhusiwa kuogombea Uongozi ili afanye maendeleo anayo kusudiwa. Njia Nyengine ni kui sponsor Simba kwa udhamini wa muda mrefu .
Kuuza Simba kwa yeye kuimiliki hilo haliwezekani. Mimi ni mwanachama wa simba na mtu wa kwanza kwenda mahakamani kupinga hatua hii.
Simba ni timu ya wazee wetu wa Dar es salaam ..Pamoja na Yanga na Coastal Union na African Sports zina Historia za kipekee katika siasa za nchi hii tangu enzi za Kugombea Uhuru.
wazee wale waliziongoza timu hizi kwa mafanikio makubwa na ikawa ndio chachu ya maendelo ya Footbal Tanzania.
Simba ni Priceless..huwezi kuithamini kwa fedha kabisa. Ni club ambayo imeweza ku survive zaidi ya Miaka 70 ya dharuba kwa muundo wake huu huu uliopo ambao ni kuwa chini ya wanachama na wapenzi.
How much is share ya Club hii ?'
Na jee nani atakua beneficiary wa hizo share Jee wajukuu wa waanzilishi wa Simba au matapeli kina Hanspope na Aveva ?
Ni wa zi Simba sio Africa Lyon ambayo Dewji ilimshinda kuindesha kwa sababu moja tu..hakua tayari kuwekeza kama alivo ahidi.

Tunamshauri yeye na wote wanaopokea Rushwa waache ndoto zao halitawezekana kabisa hili.....bora simba ife kabisa kuliko kuuziwa mtu mwenye malengo ya kuifanya simba brand ya biashara yaek. Na hakika Tunaomba TAKUKURU Wachunguze wale wote wanaoshabikia hili kwani kuna kila dalili wanapokea rushwa kufanikisha mpango huu haramu
SIMBA NI YA WATANZANIA WAPENZI HAIWEZI KUUZWA NA HAITAUZWA..
Wewe ni mji.nga, unaikumbuka Simba ya Mo.dewji ilivyokuwa tishio miaka ile anaidhamini? Sasa kwani hutaki apewe timu au ndio mtadhibiwa mirija yenu ya kula??

Hata hizo timu za ulaya unazoshabikia zipo katika mfumo bora ndio maana unazichekelea.

Oooh atupe Pesa zake Ila yeye hatumtakiii!!
 
Back
Top Bottom