Mo Dewji ni tapeli na bora imeonekana mapema

Leo ndio tutajua kama kweli timu fulani ina mashabiki mbumbumbu.

Mbumbumbu wao hawajibu hoja kwa hoja bali hoja kwa matusi.
 
Umejitahidi kuandika ila imeshindwa kujenga hoja na kutetea hoja, kimsingi hujaonesha evidence zilizo dhahiri juu ya tuhuma zako
 
Mkuu kwa hiyo timu ikiwa na rais na huo mfumo unaotaka ndio hatutofungwa walakutolewa mapema
mafanikio hayanunuliwi, mafanikio yana msingi, mwekezaji akiwa na nguvu kuliko bodi ya timu, timu inakosa msingi imara. Has muwekezaji mwenyewe akiwa yupo kwa ajili ya sifa binafsi na hajali msingi wa timu. Wote tunajua kwamba msimu huu tulitaka kununua mafanikio ligi ya mabingwa na historia ikatusulubu. Unapojenga timu ili ije ifanikiwe haununui wachezaji wakubwa kutoka India, Mazembe walimchukua Mbwana wakati bado mdogo na ile ndomaana ya kujenga timu.
Ila kikubwa zaidi ni kwamba Mo Dewji haipendi Simba kama ambavyo mimi nawewe tunaipenda, Wewe ungekua na $mil 10 tukakwambia wekeza $mil 2 simba wala usingefikiria mara kumi kumi, lakini yeye aliambiwa awekeze $mil 1 tu mpaka leo anataka wazee wale wamlambe matako.
 
Mo kuwekeza Simba wewe unaumiaje?.. Hao madrid hawafungwi?
Simba hakuna vijana?
Madrid hakuna wazee?
Huna hoja na kadi yako ya klinic hiyo ambayo hulipii ada.
 
Kweli baadhi ya mashabiki ni malofa sana! Sasa huo usajili mbaya mnaousemea kwani timu imefungwa mechi ngapi? Na nani kakwambia timu ikiwa nzuri ni lazima ishinde kila mechi? Unasisitiza uwekezaji wa soka la vijana! Kati ya mwaka 2012-2016 simba iliwekeza kwa aina gani ya wachezaji kama sio vijana? Je, walichukua mataji mangapi? Walifika wapi?
Na unapomshambulia mtu kwa sababu ni tapeli, wewe unayefanya kazi halali umeisaidia nini timu yako?
 
Unaweza kukuta mleta hoja hata nyumba hana lakini anabariki tu umaskini kwa sababu za kilofa
 
MO toka alivyoitelekeza singida united na african lyon nikajiridhisha ni tapeli
 
mbumbumbu mmeanza kutafutana.

jana alikuwa tajiri yenu leo kawa tapeli.

mpeni team manara basi.
 
Simba ni timu ya wanasimba, mimi binafsi nimeanza kuhisi Simba ni ya mtu tayari.
 
Mo ni Janjajanja tu kama kina Patrick Ngowi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…