bora aisee, Simba yetu irudi mikononi mwa wananchi. Sasa nafasi za uongozi zijazwe na wataalamu wa mpira sio washabiki na mamluki wa Dewji.Tapeli kajiuzuru
Tutalipa sisi mashabiki!we tahira, hela ya kulipa wachezaji atalipa bibi yako?
Tayari zishaumana huko 😂 😂 😂 😂Tokea mwanzo mimi nilisema ' kina Kilomoni hawako sahihi kubania nyaraka za mali za Simba lakini potelea mbali, if I had to choose I'd choose the lesser evil of not letting Dewji anywhere near those documents".
Dewji ametulaghai na mbwembwe nyingi na kina Hans Pope za usajili wa makelele mengi wakati hauna matunda.
Simba ni timu ya watanzania, hapa ndipo wachezaji wazuri wote wa Tanzania walitakiwa wazaliwe na wachezee. Sasa Simba imekuwa sehemu ya kwenda kula hela. Wachezaji wangapi pale wanajitoa kwasababu ya jasho la wanasimba? Hakuna.
Na laana iwafikie wote wanaosema tunajenga Simba kwa matokeo ya baadae, mpira haupo hivo. Timu za mpira wa miguu zinajengwa na wachezaji wenye umri mdogo ili waje kutawala baadae. Usajili wetu wa kutulaghai kuona hatukamatiki umejaza wachezaji wenye miaka 25 na zaidi. Angalieni timu kama Madrid, Mazembe, Barcelona na timu nyingine zote kubwa. Mafanikio ya timu hizi yametokana na usajili wa vijana wadogo. Huwezi kufanya usajili wa wachezaji kutoka India utegemee utasaidia timu kukua.
Tena bora Serikali imegundua na kusema kama ni mgeni aje akiwa ana nafasi timu yake ya taifa au anacheza ligi ya juu nchini kwao.
Ulaghai wa usajili wa fujo ili tumuonee huruma awe na masifa huko FORBES kwamba anamiliki timu yameanza kuthibitika, Mo Dewji ni tapeli na hajui anafanya nini na simba. Wazee walimpa nafasi aweke US 1 million kama alivoahidi wampe nyaraka akagoma kwasababu hana nia ya dhati ya kuipaisha Simba zaidi ya kutaka sifa tu.
Ubunge wa Singida ulimshinda kwasababu ya misifa, alijidai ataibadilisha Singida lakini wapii, Singida ina hali mbaya vile vile tangu na tangu.
Jamaa anapenda sifa tu, hawezi kufanya la maana lolote.
Mimi Simba siwezi kuacha kushabikia, ila mzuka wa kwenda uwanjani kuiangalia umepungua kwa kiasi kikubwa. Sasa hivi nahisi kama Simba sio sehemu yangu tena, imekua kama ni mali ya mtu hivi.
Simba haijawahi kuwa mali ya mtu, ni timu ya wanaSimba.
NAPENDEKEZA TUWE NA MFUMO WA RAISI WA SIMBA NA SIO MMILIKI, KAMA AMBAVYO MADRID IPO.
Unasajili wachezaji kutoka India ambako hakuna mpira kabisa ili kutupumbaza watu ionekane umesajili vitu vya maana. Bahati nzuri njia ya muongo fupi, anataka sifa za kua anamiliki timu wakati sisi washabiki tunateseka. Mali za Simba hazitakiwi kuguswa na mikono ya nuksi ya Dewji.
Mlaghai mkubwa wewe.
Kadu na Bi Hindu walishawekwa mfukoni kitambo. Pesa haina dini.
HahaaMikia imeanza tena kuraruana yenyewe.
Hahaha...!
Mikia ni mikia tu.
Usituletee pumba zako mzee simba imetumia mfumo wa Raisi kwa miaka mingapi? unataka kufananisha Real madrid na Simba? wachezaji wanatakiwa watambue kwamba wanatimiziwa mahitaji yao kwa wakati basi na wao watimize mahitaji ya mashabiki zao hatuwezi kuvumilia ujinga... mimi nasema pitisha fagio tu kwa baadhi ya wachezaji ili kurudisha nidhamu na ari kwa wachezaji wengine.. mo angeweka kipengele cha kuwakata mishahara wakiwekewa malengo na wakashindwa kuyafikiaHaya matusi yote niliyategemea. Na hakuna mwanaSimba anaeipenda timu yake akasema kua tunaelekea mahali sahihi.
Kuhusu mishahara ya wachezaji, haya ndo matokeo ya kujaza wachezaji wazee. Ukiwa na vijana wadogo unaweza tumia hela ya mchezaji mmoja kulipa watatu. Wachezaji wakubwa wanataka hela nyingi na hela ndio inayowafanya wacheze ila vijana wadogo wanatafuta jina.
Tunatakiwa na mfumo wa Raisi ambae atakua mwajiriwa wa Simba, ambae atakua na sauti ya mwisho katika maamuzi muhimu ya Simba , na atakae tafuta wawekezaji kama Florentino Perez wa Madrid.
Huwezi kununua mafanikio kwenye mpira, mpira unahitaji nidhamu na mipango kufanikiwa.
Wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho kwa heshima ya kilabu sio sababu ya hela. Time and again tumeona mifano ya wazi huko ulaya watu waliotaka kununua mafanikio imekuaje.
Kama una akili ndogo na unaona huyo mlaghai anachofanya ni sawa, endelea na upumbavu wako, niache mimi mwenye akili nione tofauti.
We mat*ko hao vijana wa Senegal na Ghana utawalipa nini? hivi kati ya Mo na Simba nani anamtapeli mwenzake unawaza kweli wewe?fifa ranking Tanzania 137 India 103 , Elo Ranking Tanzania 131 India 154. Hoja yako ni ipi hapa? India hakuna mpira, kuna vijana wazuri wapo hapo senegal na ghana, pia kuna vijana wapo hapa bongo tunatakiwa kua na academy ya maana tu. Kuna vijana wazuri wapo Uganda.
Acha upumbavu ww hizi idea zako zinakuja baada ya Mo kuchukua timu siku zote ulikuwa wapi? simba imeanza mwaka gani hadi inachukuliwa na Mo ilikuwa imepiga hatua gani hasa kulingana na umri wa timumafanikio hayanunuliwi, mafanikio yana msingi, mwekezaji akiwa na nguvu kuliko bodi ya timu, timu inakosa msingi imara. Has muwekezaji mwenyewe akiwa yupo kwa ajili ya sifa binafsi na hajali msingi wa timu. Wote tunajua kwamba msimu huu tulitaka kununua mafanikio ligi ya mabingwa na historia ikatusulubu. Unapojenga timu ili ije ifanikiwe haununui wachezaji wakubwa kutoka India, Mazembe walimchukua Mbwana wakati bado mdogo na ile ndomaana ya kujenga timu.
Ila kikubwa zaidi ni kwamba Mo Dewji haipendi Simba kama ambavyo mimi nawewe tunaipenda, Wewe ungekua na $mil 10 tukakwambia wekeza $mil 2 simba wala usingefikiria mara kumi kumi, lakini yeye aliambiwa awekeze $mil 1 tu mpaka leo anataka wazee wale wamlambe matako.
Karudi tena kabacholiBasi kajiuzulu, anzeni kutembeza bakuli.
Karudi tena kabacholi