Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Nimekutana na interview moja YT, billionaire Mo akifanyiwa na YouTuber (@AhmadMaamoud Show) ambapo Mo amesema alinunua Bugatti Chiron (hajataja model year) kwa $ Mil 4 lakini alivyoenda kuicheki akaogopa speed akaiuza na anasema akapata faida ya € 500,000.
Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za kuchimbia visima (rigs) zikarudi kuchimba visima Africa (hajasema nchi).
Hangera Billionaire kwa kumiliki Bugatti ata kwa miezi michache bila kuendesha.
Link Hii Hapa ni ya Sekunde chache (YouTube Shorts):
View: https://youtube.com/shorts/fngrBejAhVE?si=lNO3w2mEDHRj1K4s