Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

Alikuwa pia mmiliki wa el Bugati 😏
1000016436.jpg
 
Mad max mtaalamu wa magari hilo linawezekana hayo magari mara nyingi wanatengeneza machache wakiuza hiyo model mtu anaetaka labda anunue kwenye auction kutoka kwa mtu alienunua...
Kwa wapenzi wa magari anaweza kununua kitu bila hata kukitumia na akauza au akabadili mawazo na kufanya kitu kingine..
Ilo nalo la kuzingatia mzee, kweli inawezekana aisee
 
Ilo nalo la kuzingatia mzee, kweli inawezekana aisee
Mwaka jana nimemnunulia mtu Ford Raptor mpya ya 2023 inafika daslm akasema mbona kama fusso alidhani ni ndogo ndogo kama Legend 50 kweli ilibidi niitume Arusha ikauzwe yeye aletewe Wildtruck sio pana na picha,video nilimtumia hawa matajiri sio wakaguzi kama sisi.
 
Ilo nalo la kuzingatia mzee, kweli inawezekana aisee
Ila kaka faida ya euro hizo 500K?
Hio faida tu unapata G wagon 0 km...

Alitaka kuonekana smart kibiashara na katika uwekezaji kwamba hawezi nunua gari ya thamani kubwa ambayo haileti faida..... Ndio maana akasema huo uongo... Mzee faida ya 500K Euros sio mchezo....
 
MO Dewji ni tajiri, ana uwezo wa kumiliki hilo gari, ila MO Dewji ni binadamu muongo kuliko waongo wote naowajua, mtu wa fix sana, usije muamini MO Dewji hata kidogo, ni zaidi ya muongo, anapenda attention za kipuuzi sana, yaani ana tabia za kimaskini sana ingawa ni tajiri, so we can conclude MO Dewji ni maskini sana overall sbb ya tabia zake, mtu asiyeaminika sbb ya characters zake ni maskini kabisa, so last conclusion ni kuwa hajawahi nunua hiyo Bugatti, katupiga fix, mtu wa hovyo kabisa..!!
Wewe kibwengo kisokolokwinyo una nini ?, none sense
 
MO Dewji ni tajiri, ana uwezo wa kumiliki hilo gari, ila MO Dewji ni binadamu muongo kuliko waongo wote naowajua, mtu wa fix sana, usije muamini MO Dewji hata kidogo, ni zaidi ya muongo, anapenda attention za kipuuzi sana, yaani ana tabia za kimaskini sana ingawa ni tajiri, so we can conclude MO Dewji ni maskini sana overall sbb ya tabia zake, mtu asiyeaminika sbb ya characters zake ni maskini kabisa, so last conclusion ni kuwa hajawahi nunua hiyo Bugatti, katupiga fix, mtu wa hovyo kabisa..!!
Nakumbuka alisema alitaka kujinunulia Bugatti lakini hakununua ili afanye usajili MKUBWA Simba
 
Ina maana kipindi anaagiza hakufuatilia speed ya hilo gari?

Sifa ya bugatti ni speed...
Hata kama ina speed kubwa kwani lazima aendeshe top speed... Huyu jamaa nilikuwa namuheshimu ila naanza kuona ana ushamba flani na ujinga beside utajiri alionao..

Ningekubali angesema Bugatti ground clearence ni ndogo sana na inasumbua kwa roads za kibongo, kitu ambacho ni kweli...
Sio kipindi anaagiza Hawa watu wako smart sana tenah sana katika utendaji kazi wao ,yaani sio mkurupukaji kama mtu wa kawaida
 
Ila kaka faida ya euro hizo 500K?
Hio faida tu unapata G wagon 0 km...

Alitaka kuonekana smart kibiashara na katika uwekezaji kwamba hawezi nunua gari ya thamani kubwa ambayo haileti faida..... Ndio maana akasema huo uongo... Mzee faida ya 500K Euros sio mchezo....
Bil 1.2 iyo Tsh.

Hapo sawa kauza Mo Energy ngapi kwa miaka 10.
 
Mwaka jana nimemnunulia mtu Ford Raptor mpya ya 2023 inafika daslm akasema mbona kama fusso aliphatic ni ndogo ndogo kama Legend 50 kweli ilibidi niitume Arusha ikauzwe yeye aletewe Wildtruck sio pana na picha,video nilimtumia hawa matajiri sio wakaguzi kama sisi.
😁😁😁

Raptor ni Tank. Kubwa saaaana.
 
Back
Top Bottom