Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

Ilo nalo la kuzingatia mzee, kweli inawezekana aisee
 
Ilo nalo la kuzingatia mzee, kweli inawezekana aisee
Mwaka jana nimemnunulia mtu Ford Raptor mpya ya 2023 inafika daslm akasema mbona kama fusso alidhani ni ndogo ndogo kama Legend 50 kweli ilibidi niitume Arusha ikauzwe yeye aletewe Wildtruck sio pana na picha,video nilimtumia hawa matajiri sio wakaguzi kama sisi.
 
Ilo nalo la kuzingatia mzee, kweli inawezekana aisee
Ila kaka faida ya euro hizo 500K?
Hio faida tu unapata G wagon 0 km...

Alitaka kuonekana smart kibiashara na katika uwekezaji kwamba hawezi nunua gari ya thamani kubwa ambayo haileti faida..... Ndio maana akasema huo uongo... Mzee faida ya 500K Euros sio mchezo....
 
Wewe kibwengo kisokolokwinyo una nini ?, none sense
 
Nakumbuka alisema alitaka kujinunulia Bugatti lakini hakununua ili afanye usajili MKUBWA Simba
 
Sio kipindi anaagiza Hawa watu wako smart sana tenah sana katika utendaji kazi wao ,yaani sio mkurupukaji kama mtu wa kawaida
 
Bil 1.2 iyo Tsh.

Hapo sawa kauza Mo Energy ngapi kwa miaka 10.
 
😁😁😁

Raptor ni Tank. Kubwa saaaana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…