Mo Dewji: Nilinunua Bugatti Chiron na kukaa nalo miezi minne na kuliuza bila ata kuliendesha wala kuliwasha!

Ukweli mtupu.
 
kwan kabla ya kununua hakujua ina speed ngapi?
 
Mo ni mtu wa kupenda ku trend
 
Kuna inteview yake moja na Forbes ya juzi juzi tu ndiyo ilinifanya naamini hawa wazee wakiwa bongo wanaishi kisela sela tu, unamkuta ana Range Rover model ya kitambo lakini akiwa UAE au CapeTown anaishi uhalisia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…