Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

Kwamba yupo tayari kufilisika kisa Simba
 
Point ni kwamba kasha inunua Simba hayo mengine sio mada ya leo
 
Ndo kawaida yake
Ili tumsaidie asiendeleee kupata hasara naiombea Simba ifungwe na Jwaneng
I
 
We unafikiri anatumia sh ngapi kwa mwaka?
Ina maana timu haiingizi? Kuna wadhamini, pesa za kufuzu hatua mbali mbali caf, zawadi za washindi, malipo ya wanachama mwaka mzima simba wanaingiza zero ila wanatumia bil10? Maana hzo bajeti za bili 10 simba msimu huu bajeti halisi ni b13 ina maana huko nyuma zilkuwa pesa ndogo zaidi
 
Sawa sawa sasa mie pia sitaki kuingia deep maana niliwahi kuwa karibu sana na FoS na hasa uongozi uliopita...

Unadhani kwann kila ikifika hatua hii tajiri anakuja na story hizi ? Je anaamini maneno ya Rage ? So anafanya kusudi sababu kashika mpini ?

Kule mtaa wa pili walichofanya ni kupeleka mtu akawe Rais/Chairman azidhibiti nguvu ya 51 % na wao naona wanajua kula na vipofu
 
Timu hzi wakiachiwa hao 51% hakuna lolote wanaweza fanya, refer Yanga 3yrs ago. Kuhusu uwekezaji hao watu ni muhimu ila Mo muongo muongo sana. Au ana agenda yake binafsi maana yake timu ikikaribia kupata pesa lazima aibuke. Yaana kama mbowe na chadema
 
Moamedi Deuji muongo. Tz Kuna watu milioni sitini.
Hapo Kuna watoto chini ya umri wa miaka kumi ambao hawana upenzi wa mpira, Hawa wapenzi milioni 35 anawapata wapi? Shithole.
 
Kwa maana hiyo ni sawa na kuwaa mbia kolo juaneni na Juaneng Galax🤣Ama ndio kutuambia wamejaa mchwa hapo ukoloni🤓
 
Halafu deni linaongezeka tu..kifupi Mo anataka kujimilikisha hy team si bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…