bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Kwamba yupo tayari kufilisika kisa Simba...Amepoteza B 51 kwa miaka 5. Amepoteza, kwa maana ni hasara. Na bado tu yupo. Mwaka wa kwanza amepoteza B 10.2, wa pili B 10.2, wa tatu halikadhalika, na mwaka wa nne, na watano na bado yupo ina maana yupo tayari kupoteza tena mwaka wa sita!!!
Hii ni janja janja, kweli wajinga ndio waliwao!!!