Mo dewji: Nimepoteza billion 41 ndani ya Simba

MO kama ni mtu tajiri na msomi anatakiwa kuongea kwa Mantinki na tahadhari.

Amepata hasara ya Bil 51.
Kwahiyo nini kinacho fuata ?

Ameinunua Simba.
Kwahiyo nini kinacho fuata ?

Haileweki kama analalamika au anatoa taarifa.

Kwanini anang'ang'ania biashara inayompa hasara kubwa namna hii?

Sijaona Kiongozi wa Timu mwenye malalamiko yasiyo eleweka kama MO.
 
Kigwangwala alishayaona yote Aya na akawa anawaeleza ukweli mkawa mna mchukia.
Sasa atakapo amua ku uza share zake na kuamishia madeni yake kwa Tajiri mwingine wa michezo ya kriketi ndipo ghafla mtapokua timu ya mchezo wa kriketi bila kupenda.
 
Kwa sababu bado ana mapenzi na timu ya simba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu bado ana mapenzi na timu ya simba

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mpenzi wako akiwa anaongea ongea sana mambo yenu kwa watu wengine hasa yale mabaya badala ya kuja kuongea na wewe kwenye vikao vyenu vya ndani.

Hii ni hatua gani ya mapenzi?

Hapo penzi ndio lime ekspata mtu anatafuna sababu ya kuliacha hilo penzi.

Mwanaume ongea kiume na sio kulia lia kila wakati.
Kama mzigo ni mzito unaondoka tu.
Simba ipo sana.
 
Muachieni Boss Mudi.. Timu yake! Maana bado kuna wakuda wameshikilia hati na hawataki kutia saini.
 
“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba ina mashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4 (Tsh bilioni 10.2) kwa mwaka mmoja na kwa miaka yote mitano nimepoteza Dola za Marekani milioni 20 (Tsh bilioni 51)"

Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji akizungumza kwenye Podcast ya Ahmed Mahmood.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
simba ni mali ya MO
 
Jitihada za dhati zinafanyika Kulazimisha tatizo sehemu ambayo haina tatizo.
Kupanda kwa Yanga sio lazima umshushe Simba.
Kufanikiwa kumshusha adui yako, haimaanishi kuwa wewe ndiyo utakuwa juu.
 
Ndugu mbumbumbu ebu elezea Yanga wanahusika vip wakati mahojiano yalikua kati ya chombo Cha habari na Mwenye timu yake?
Mwenye timu ndiye aliyesema ameinunua lakini hapati faida.
 
Mpenzi wako akiwa anaongea ongea sana mambo yenu kwa watu wengine hasa yale mabaya badala ya kuja kuongea na wewe kwenye vikao vyenu vya ndani.

Hii ni hatua gani ya mapenzi?

Hapo penzi ndio lime ekspata mtu anatafuna sababu ya kuliacha hilo penzi.

Mwanaume ongea kiume na sio kulia lia kila wakati.
Kama mzigo ni mzito unaondoka tu.
Simba ipo sana.
Hilo ni sahihi Mkuu

Back
Top Bottom