Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] inasikitishaHamna utajiri wa kishamba huo.... Umeshamsikia Gsm akisema amepata hasara yanga?...... Tajiri ana mihemko Kama mwijaku/baba levo [emoji28][emoji85]
Wanachamaaliinunua kwa nani uyu mbuzi wa kihindi???
[emoji23][emoji23]Yaani Simba imeuzwa kimya kimya kama Bangi
Kwa sababu bado ana mapenzi na timu ya simbaMO kama ni mtu tajiri na msomi anatakiwa kuongea kwa Mantinki na tahadhari.
Amepata hasara ya Bil 51.
Kwahiyo nini kinacho fuata ?
Ameinunua Simba.
Kwahiyo nini kinacho fuata ?
Haileweki kama analalamika au anatoa taarifa.
Kwanini anang'ang'ania biashara inayompa hasara kubwa namna hii?
Sijaona Kiongozi wa Timu mwenye malalamiko yasiyo eleweka kama MO.
[emoji23][emoji23]Kigwangwala alishayaona yote Aya na akawa anawaeleza ukweli mkawa mna mchukia.
Sasa atakapo amua ku uza share zake na kuamishia madeni yake kwa Tajiri mwingine wa michezo ya kriketi ndipo ghafla mtapokua timu ya mchezo wa kriketi bila kupenda.
Mpenzi wako akiwa anaongea ongea sana mambo yenu kwa watu wengine hasa yale mabaya badala ya kuja kuongea na wewe kwenye vikao vyenu vya ndani.
sio singida tu hata pemba wapoSingida kuna wahindi?
Na danganyika iko matakoni kwako ??India ipo makalioni kwako huko
Iko matakoni kwako weweNa danganyika iko matakoni kwako ??
simba ni mali ya MO“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba ina mashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4 (Tsh bilioni 10.2) kwa mwaka mmoja na kwa miaka yote mitano nimepoteza Dola za Marekani milioni 20 (Tsh bilioni 51)"
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji akizungumza kwenye Podcast ya Ahmed Mahmood.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ndugu mbumbumbu ebu elezea Yanga wanahusika vip wakati mahojiano yalikua kati ya chombo Cha habari na Mwenye timu yake?Jitihada za dhati zinafanyika Kulazimisha tatizo sehemu ambayo haina tatizo.
Kupanda kwa Yanga sio lazima umshushe Simba.
Kufanikiwa kumshusha adui yako, haimaanishi kuwa wewe ndiyo utakuwa juu.
Hilo ni sahihi MkuuMpenzi wako akiwa anaongea ongea sana mambo yenu kwa watu wengine hasa yale mabaya badala ya kuja kuongea na wewe kwenye vikao vyenu vya ndani.
Hii ni hatua gani ya mapenzi?
Hapo penzi ndio lime ekspata mtu anatafuna sababu ya kuliacha hilo penzi.
Mwanaume ongea kiume na sio kulia lia kila wakati.
Kama mzigo ni mzito unaondoka tu.
Simba ipo sana.
Kwamba Kuna mgogoroMuachieni Boss Mudi.. Timu yake! Maana bado kuna wakuda wameshikilia hati na hawataki kutia saini.