MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

Wote mmekubali kuingia kwenye attention yake
 
Hizi tweets za boss nafikiri zinakuwa tweeted kwa malengo au mkakati fulani... Nachelea kusema kwamba boss huwa anakurupuka tu na ku tweet ili kufurahisha watu, au ili aonekana ana hela kama watu wengi wanavyodhani..
 
Lakini...au basi
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika

"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"

View attachment 2713575
Kwa hiyo ukijumlisha na zile 20 pamoja na hizi 3 zinakuwa 83.
 
Back
Top Bottom