MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

Ukute ni katika 20bil anazitoa Kwa instalment. Tokea 2018 mpaka leo nadhan tutakua hatumdai tena labda ye ndo anatudai

Kabla ya leo amewahi kutoa huko nyuma? Kuna uthibitisho wowote? Kigwa alipojaribu kuuliza alitukanwa matusi yote na kuambiwa anataka mkopo.
 
Zile 20 B ukijumlisha 3 B ndio zinakuwa 23B Moo katisha sana.

Ila baada ya mechi ya leo kuna watu wataomba risiti waone kweli 3B zimetumika au ndio zile za kidalali, 10 zako 4 ni fichie.
 
tumeambiwa Simba wamepewa bilioni 5 Kwa ajilo ya usajili wa afrika cup hivyo atueleze bilioni 2 zimeenda wapi au ndio uturuki.
isitoshwe Sakho kauzwa pesa haijatangazwa, mapato ya Simba Day wamekubaliana yasitangazwe.
 
Sasa anatangaza ya nini? Ili matokeo yasipokuwa mazuri yeye anawe na asilaumiwe. Kwanza kutoa tu hizo sio tatizo sana ila tatizo ni gharama za kuendesha timu, hapo ndipo muziki ulipo. Tusubiri tuone.
 
MUONGO MKUBWA HUYU.

NI MJINGA TU ANAYEWEZA KUAMINI UONGO WA HUYU JAMAA.

SIMBA IMEPATA BILIONI 2 ZA CAFCL.
SIMBA IMEPATA BILIONI 5 ZA SUPER CUP.


JUMLA B7
 
MUONGO MKUBWA HUYU.

NI MJINGA TU ANAYEWEZA KUAMINI UONGO WA HUYU JAMAA.

SIMBA IMEPATA BILIONI 2 ZA CAFCL.
SIMBA IMEPATA BILIONI 5 ZA SUPER CUP.


JUMLA B7
Hizo 2B hakukuwepo matumizi? Hizo 5B zimeshaingia? Wakati mwingine ni vyema kuwa kimya
 
Hata kama ni muongo ila sisi wenye akili tunasema Ahsante sana Tajiri .
Mo ndo kila kitu simba mkatae au mkubali....wale wazandiki hata kununua uzi wa simba hawawezi ndo mna mdomo kutwa nzima kwenye mtandao kumsema Rais wa heshima.
 
Hizi tweets za boss nafikiri zinakuwa tweeted kwa malengo au mkakati fulani... Nachelea kusema kwamba boss huwa anakurupuka tu na ku tweet ili kufurahisha watu, au ili aonekana ana hela kama watu wengi wanavyodhani..
Kwani hana hela???
 
 
Back
Top Bottom