MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

Niliwaambia huyo mtu ni muongo.
Bilioni tatu imemsajili nani????????

Nimeongea na scaut mmoja wa simba amesema mo hatoi hata senti ya usajili, wanahaha sana msimu wa usajili.

Bilioni tatu imesajili nani??????

Ayoub mdaka panzi.?????
Che malone ????
Fabrice ngoma???
Onana esomba????
Aubin kramo??????
Luis miquissone?????
Chilunda.?????
Hussein Kazi.????
Hussein abel????
David kameta????

Hapa sidhani hata kama b1 inafika
Mwamedi ni muongo mno
 
Back
Top Bottom