Ukute ni katika 20bil anazitoa Kwa instalment. Tokea 2018 mpaka leo nadhan tutakua hatumdai tena labda ye ndo anatudai
Mo hela anazotoa ni kama sadaka. Simba kitaalam hawana mfumo Wa fedha unaoeleweka.Kabla ya leo amewahi kutoa huko nyuma? Kuna uthibitisho wowote? Kigwa alipojaribu kuuliza alitukanwa matusi yote na kuambiwa anataka mkopo.
YeyeHuwa unaamini katika ndoto?
Huwa unaota kwa niaba yake?Yeye
mbona unauliza na kujijibu mwenyewe?Sasa anatangaza ya nini? Ili matokeo yasipokuwa mazuri yeye anawe na asilaumiwe.
Hizo 2B hakukuwepo matumizi? Hizo 5B zimeshaingia? Wakati mwingine ni vyema kuwa kimyaMUONGO MKUBWA HUYU.
NI MJINGA TU ANAYEWEZA KUAMINI UONGO WA HUYU JAMAA.
SIMBA IMEPATA BILIONI 2 ZA CAFCL.
SIMBA IMEPATA BILIONI 5 ZA SUPER CUP.
JUMLA B7
Anaumia pale watu hawaoni jitahada zake, wanasema katoa kidogo.Anaonyesha akitoa pesa zinamuuma sana[emoji28]
Kwani hana hela???Hizi tweets za boss nafikiri zinakuwa tweeted kwa malengo au mkakati fulani... Nachelea kusema kwamba boss huwa anakurupuka tu na ku tweet ili kufurahisha watu, au ili aonekana ana hela kama watu wengi wanavyodhani..
Na wewe unaamini!Huyu jamaa anawasimanga sana makolo
Ulimpa nani ?Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika
"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
View attachment 2713575