Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku.

Unahisi jina gani halitokosekana?

=====


Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba Sports Club

Hizi na hatua za kuendelea kuiboresha na kuitengeneza Simba mpya, Simba Bora, Simba Hatari, Simba ya Mataji

Wana Simba mtafurahi mpaka mtaichukia furaha, Tajiri kaamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…