Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

Katika nchi yenye vituko basi Tanzania ni moja wapo tajiri unalalamika wajumbe wako wanakukwamisha wajiuzulu, wanajiuzulu baada ya mda tena unawateua tena

Na yote hayo yanafanyika mashabiki wao wanashangilia wajumbe wamejiudhuru wameteuliwa tena watu wanashangilia
 
😁ukisikia the republic of banana ndo hii sasa.

Tanzania ni nchi ya mazombie yaliyopewa sura zinazotazamika
 
Katika nchi yenye vituko basi Tanzania ni moja wapo tajiri unalalamika wajumbe wako wanakukwamisha wajiuzulu, wanajiuzulu baada ya mda tena unawateua tena

Na yote hayo yanafanyika mashabiki wao wanashangilia wajumbe wamejiudhuru wameteuliwa tena watu wanashangilia
MO amechanganyikiwa, mambo anayoyafanya si ya mtu mwenye akili timamu.
 
Kaona mashabiki wenyewe wa Simba hawajielewi, kama watu wanaletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu huku akiikandia Yanga kuwa hawezi chezea timu yenye jezi ya rangi ya nyoka nyoka wao wanashangilia vibaya mno.
Wanaaminishwa ngao ya jamii, kibegi, na chaneli ya Whatsapp ni mafanikio wao wanafurahia. Saivi kila kiongozi wa Simba anajua wanaongoza watu wa aina gani.
 
Back
Top Bottom