Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sasa GSM naye ni tajiri?Tajiri muda wa mipasho atautowa wapi? Ulishawahi kuona GSM anapost Twitter?
Yeye muda wote anatabasamu tu na kutowa pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa GSM naye ni tajiri?Tajiri muda wa mipasho atautowa wapi? Ulishawahi kuona GSM anapost Twitter?
Yeye muda wote anatabasamu tu na kutowa pesa.
Jikusanyeni ukoo wako wote hamfikii hata robo ya utajili wa GSM.Sasa GSM naye ni tajiri?
Nakazia jamaa kwa trendi hii kweli kuna kitu hakipo sawaMO amechanganyikiwa, mambo anayoyafanya si ya mtu mwenye akili timamu.
GSM na Bakhresa siyo watu wa spotligh kama yule Kanjibahi magumashi Mwamedi.Yani hata sauti yake sijawahi kuisikia
GSM ww utaona anafanya mambo haongei anatabasamu tu
Utajiri wake ni kiasi gani?Jikusanyeni ukoo wako wote hamfikii hata robo ya utajili wa GSM.
Ukiacha biashara zake zote, jengo lake moja tu la GSM tower Samora avenue ukoo wako wote mjumrishe pesa zenu hamuwezi kulinunuwa kwa bei ya soko.Utajiri wake ni kiasi gani?
Utajiri wake una range usd ngapi?Ukiacha biashara zake zote, jengo lake moja tu la GSM tower Samora avenue ukoo wako wote mjumrishe pesa zenu hamuwezi kulinunuwa kwa bei ya soko.
Hivi haoni aibuGSM na Bakhresa siyo watu wa spotligh kama yule Kanjibahi magumashi Mwamedi.
Mwamedi aibu kaanza kuona lini? Pesa zote za CAF Simba ikiingiaga robo fainali anachukuwa yeye halafu anatangaza kupata hasara lakini biashara inayompa hasara hataki kuiachia.Hivi haoni aibu
Hahaaaaaaaaaaaa Mwasibu feki teh teh teh.Trai ageini in ✅️
Mangungu in ✅️
Aden Rage in ✅️
Kigwangala in ✅️
Kalpana in ✅️
Mwasibu in ✅️
MO anatamani hata ile nafasi ya usemaji aikamatie mwenyeweHivi nafasi ya Mo Simba ni kama Ya GSM Yanga? Mana sijawahi kuona GSM anashiriki Sanaa zaidi ya kwenda uwanjani kuwezesha mambo na kutabasamu
yule wa msovero vipi mkuu?Try again IN
Rashid Shangazi IN
Chaliyule wa msovero vipi mkuu?
Idd yangu imekuwa nzuri sana, ubarikiwe milele mkuuChali
Washakujibu Mkuu?Sasa GSM naye ni tajiri?
Wapi wanarukaruka tuWashakujibu Mkuu?
Achana nao. Watu wengine wanafikiri ukiishauza magodoro tu, tiyari we ni tajiri! Ahahahahaha!!!Wapi wanarukaruka tu