Nadhani title inajieleza hapo juu, hakuna shabiki halisi wa Simba anaweza kukushambulia kwa mafanikio yako ktk SSC kuipelekea kuwapiku yeboyebo kwa rekodi ya ubingwa miaka 4 mfululizo hasa ukifikiria Simba ilivyokuwa taaban kwa Yanga huko nyuma.
Na huyo Manara kawekeza sh ngapi SSC, atokomee zake.
Siye tunataka ushindi tu hadi Yanga wakome.