Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

.
20230324_091102.jpg
 
Bilioni 20 alilipa kwenya akaunti ipi? Faida aliyopata kwa kutangza bidhaa zake za Mo (advertising) kwa miaka 6 ni kiasi gani? ; halafu ndio tupige hesabu
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

@futbalplanet_ [emoji1241]

Aache kulialia, kama anaona anapata hasara asepe tu hasitupigie kelele sisi
NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
 
Bado somo halijaingia kabisa kwenye ubongo! Yaani akina Mohamed wengine wakiitwa Mudi, ni sawa! Halafu akina Mohamedi wengine (wenye hela) wakiitwa Mudi, wanaona ni udhalilishaji! Na hivyo wanataka waitwe Mo! [emoji848]

Sawa kiongozi. Ngoja tu ibakie hivi hivi.
Kaka yule mpuuz aliendika hvyo Ni mjinga ni wale watu machawa tu hkn lolote Zaid eti mud na moo ,haifai Mohamed kuitwa muddy poor reasoning Sana viz umembana sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijahusisha hela kwenye jina. Ni sawa na Mtu anayemfahamu Mheshimiwa Samia Rais wa Tanzania tangu utoto na labda jina lake la utoto awe analijua. Sasa mbele za watu aseme " kibibi mambo vipi?" haitakuwa sawa.

Kama mtu anaitwa Mo muite Mo na siyo kutanguliza maneno kwamba kina Mo wana hela ila huyu ni Mudi tu kwa kuwa hana hela ila ana janja janja!!
Babu poorly reasoning unafanya kwa mud na mo anyway muddy CYO zarau Ni majina yetu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom