Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Yeye mwenyewe anajua umuhimu wa Simba ndo maana anaongea huku yuko pale pale
Naamini ananufaika na simba zaidi ya simba inavyonufaika nae ndio maana bado yupo ila msiombe wala kutamani aiachie timu. Kwa Tz hii kumpata muwekezaji kama yeye ni nadra.
 
Hata mimi nasema tuu wala sitaki aondoke mkuu..nani atakuja mwenye ushawishi kama yeye?. 😆 😆 😆 labda Bakhresa asema anaitaka tutakubali kwa moyo wote
 
Hawezi kuwa na team mbili zinazoshiriki ligi 1
 
Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia
Bora wewe umelilia kwenye Gari Kuna mwamba alikua analia kwenye Baiskeli, hatariii boss hatari
 
Back
Top Bottom