Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Huwa nawaambia kila siku humu kuwa pesa za (Muhindi) Kanje Bai ni ngumu sana ila Watu hukaza mafuvu, haya sasa mwenye mali kafunguka.

Watalam wa hesabu mtusaidie billion 21 ukitoa billion 50 inabakia ngap na iyo inayobakia ukiigawa kwa mashabiki na wanachama wa Simba je kla mwana simba mmoja anadaiwa kiasi gan na Mo

Wakaege wakijua ni kias gan wanadaiwa na boss
 
Ila watanzania tujifunze kukubali ukwel alichosema mo ndo ukwel wenyewe uwo na
Mnaooji kwann kaongea hazaran mlitaka akaongelee wap chumban kwake


Ebu tulizane kitaalam Simba na Yanga zinaingiza faida gan ebu
Mauzo ya jezi wanauza jezi kias gan?
Mauzo ya wachezaji wanauza wachezaji gan?
Mapato ya uwanjani wanaingiza kias ga?
Izo timu za Simba Yanga zina vitegauchumi gan
ambavyo huingiza pesa nying kwa mwaka?
Uzamini ni kias gan wanapata kutoka kwa wadhamini ?
Matangazo ya kwenye jezi na mabango ya uwanjan wanapata kias?
Pesa za mashindano ya kimataifa wanaingiza kias gan?

Tujifunze kua na heshima Tajir kaongea na alichokiongea ndo ukwel wenyewe
Tajir wanawataala tajir anatunza kumbukumbu kwaiyo anachokisema ndo ukwel uwo

Ni muda wa wanachama na wapenzi wa mpira kukomaa ni viongozi wetu waboreshe timu zetu ili ziweze kujitegemea na ziache kutegemea mtu mmoja
 
Labda kama ana mkataba na Mungu!

Labda kama ana Mkataba na Mungu!

Wacha kumuhusisha Mungu na vitu vya kipuuzi
Pesa inatafuta na pesa inawekewa mipango sasa ayo mambo ya Mkataba na Mungu ni mawazo ya kimaskin achana nayo

Ingekua ivyo bas watu wote wanaosali na kuijua dini ndo wangekua matajiri
Pesa ni ya kalisali pesa sio ya Mungu
 
MO anakosea sana, Na anawakosea wanasimba maana anawatoa confidence wawekezaji wanaotaka kuweka pesa kwenye mpira ususani Simba na pia anatengeneza mazingira ya kuja kudai fedha nyingi baadae ikiwa anataka kuachia share yake ya 49%, hii share itaenda waumiza wanasimba baadae ikiwa watampata mwekezaji serious au ikiingiza mapato makubwa.

Hawa akina MO ndo wanarudisha nyuma maendeleo ya vilabu vyetu nchini.
 
Back
Top Bottom