Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Huu ni ukweli.

Kuna mtu alikuwa ameajiriwa na Mo siku hizi amamuita "Mudi" kama njia ya mzunguko ya kumshusha hadhi yake. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli kwamba Mo anao uwezo wa kuiajiri familia yao yote na kuwalipa mshahara mpaka mwisho wa maisha yao!!
Bil 20 zipo bank gan

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba na Yanga,” Mwekezaji wa Simba Sc, Mohammed Dewji.



“Nimepata opportunities nyingi kuwekeza kwenye klabu za nje, klabu za Ureno, United Kingdom, Simba ikifungwa inanihusu kwanza ni klabu yangu, klabu ninayoipenda na inatoka Tanzania,” Mwekezaji wa Simba Sc, Mohammed Dewji.
View attachment 2562857
Timu za UK [emoji28][emoji28]?!!
 
Mtani Kalpana umeiona hii? Mnamfirisi mtoto wa watu..!!! GENTAMYCINE mchangieni mwenzenu, mmemtia hasara vya kutosha..!!
Kibyongo wa Kihindi ana matatizo huyo. Ndiyo maana Alitekwa akiwa na Suti na kupatikana akiwa na Khanga nyepesi huku akiwa amelegea na anarembua Macho wakati Yeye ni Mtoto wa Kiume.
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_ [emoji1241]

NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
Inakuaje hii mwanaume kumtangazia shida mwanaume mwenzio😅😅
 
Back
Top Bottom