Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 451
Mo Ni mjanja mjanja Sana ,alisema yeye Simba Ni hasara sisi wanasimba tujiulize
Yale matangazo kwenye jezi ingekuwa anatangazia kwa timu nyingine angelipia kiasi gani, na ametumia plat form ya Simba kujitangaza kwa muda gani
Kuna mtu anaweza kufanya biashara isiyo mpa faida tena ukizingatia biashara ya familia ,
Kingine ukiachana na matangazo ambayo mo anafaidika Sana kwa kutumia platform ya Simba trust me Mo atakuja kupiga pesa ndefu Sana hapo Simba kwa siku za baadae na hiyo ndio target ya Mo. Atapigaje pesa
Tukubali share za Simba zimekuwa under value thamani ya Simba sio bilioni 20 ambayo mo inasemekana amelipa ,baada ya miaka kadhaa mbele Mo atasema anataka kuuza share zake hapo anaweza Kuna kuuza hata 200B wakati yeye alinunua kwa 20B , ukitaka kujua anaweza kuchukua hiyo pesa kwa kuuza share zake jiulize Azam wamedhamini yanga tv kwa kiasi gani,ndio ujue thamani ya hizi club zetu,trust me Mo atapiga pesa ndefu sana