Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

Ila watanzania tujifunze kukubali ukwel alichosema mo ndo ukwel wenyewe uwo na
Mnaooji kwann kaongea hazaran mlitaka akaongelee wap chumban kwake

Ebu tulizane kitaalam Simba na Yanga zinaingiza faida gan ebu
Mauzo ya jezi wanauza jezi kias gan?
Mauzo ya wachezaji wanauza wachezaji gan?
Mapato ya uwanjani wanaingiza kias ga?
Izo timu za Simba Yanga zina vitegauchumi gan
ambavyo huingiza pesa nying kwa mwaka?
Uzamini ni kias gan wanapata kutoka kwa wadhamini ?
Matangazo ya kwenye jezi na mabango ya uwanjan wanapata kias?
Pesa za mashindano ya kimataifa wanaingiza kias gan?

Tujifunze kua na heshima Tajir kaongea na alichokiongea ndo ukwel wenyewe
Tajir wanawataala tajir anatunza kumbukumbu kwaiyo anachokisema ndo ukwel uwo

Ni muda wa wanachama na wapenzi wa mpira kukomaa ni viongozi wetu waboreshe timu zetu ili ziweze kujitegemea na ziache kutegemea mtu mmoja
Vp una maanisha zile 26bln walizoingia Simba na yule sponsor sio pesa
 
MO anakosea sana, Na anawakosea wanasimba maana anawatoa confidence wawekezaji wanaotaka kuweka pesa kwenye mpira ususani Simba na pia anatengeneza mazingira ya kuja kudai fedha nyingi baadae ikiwa anataka kuachia share yake ya 49%, hii share itaenda waumiza wanasimba baadae ikiwa watampata mwekezaji serious au ikiingiza mapato makubwa.

Hawa akina MO ndo wanarudisha nyuma maendeleo ya vilabu vyetu nchini.
Kaskilize interview, ndio uje uandike comment.
MO ndio anarudisha maendeleo ya mpira Tanzania Nyuma?
Umekuwa mfuasi wa mpira wa Tanzania kwa muda gani?
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_ [emoji1241]

NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
MAKOLO mbona mnamuonea sana Moh, maana anasema bila kuwekeza makolo!angekua zake ashanunua ndege!mna nn lakini makolo mnamzuia moh kununua ndege??
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_ [emoji1241]

NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
Kumamayo Mo dewji ndo maana Iddi Amini aliwafukuza Uganda hawa manguruwe.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
MO anakosea sana, Na anawakosea wanasimba maana anawatoa confidence wawekezaji wanaotaka kuweka pesa kwenye mpira ususani Simba na pia anatengeneza mazingira ya kuja kudai fedha nyingi baadae ikiwa anataka kuachia share yake ya 49%, hii share itaenda waumiza wanasimba baadae ikiwa watampata mwekezaji serious au ikiingiza mapato makubwa.

Hawa akina MO ndo wanarudisha nyuma maendeleo ya vilabu vyetu nchini.
Hio ndo technique
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_ [emoji1241]

NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
Kila wakati Hela ikiingia Simba lazima aje kujiliza hapa. Picha lilianza kwa kujidai kumsamehe Manara maana alijua atamchana tu.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.

“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"

“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana ni Bil. 20 lakini tukifanya mahesabu imefika labda Bil. 50 ambazo nimewekeza, kama nngependa raha au kitu kingine Bil 50 ningenunua hata ndege,”

“Ukiniambia Simba ni Biashara kwangu Hapana, Simba ni Hasara kwangu ndiyo, Simba kifedha inanipa hasara, Kuna wafadhili wengi sana ambao wamekuja na wamepita wengi wao wamefilisika Kutokana na kuwekeza au kufadhili Simba

RAIS wa Heshima na Mwekezaji wa Simba, MOHAMMED DEWJI.

Source @futbalplanet_ [emoji1241]

NB acheni kumwingiza hasara Mo

View attachment 2562675
Kigwangala ndiyo kiboko yake huu mtambo.

Back
Top Bottom