MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

Timu Imekwamia Wapi?
Bado anakupumulia Kisogoni...
Bado Yupo Kimataifa....
Kashaanza kama Kawaida Kukusanya makombe...La Mapinduzi Kibindoni.
Hata Round ya Kwanza haijaisha Unalalama Simba Kakwama....
Subiri Mwisho...anayecheka Mwishoni ndio Hucheka sana..!
 
Utoh acheni kulewa sifa na ushindi wa hizi match10 tulieni.. mwenye advantage na ambaye anapaswa kulinga bado ni simba maana ndo anawawakilisha kimataifa then tayari ana kombe moja la mapinduzi.. nyie mna nini zaidi ya ule ubao wa ngao unaotengenezwa na rafiki zenu tff.. tulieni mambo bado
 
Sasa kanjibai kawekeza hela zake siku zote ulitaka nayeye asipate faida hata kidunchu?
 
Si kamuuza ndgu mikisoni tu au, chama ndo huyo karudi. Mbona una makasiriko na tajiri yako ndgu??
 
Back
Top Bottom