MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

Timu Imekwamia Wapi?
Bado anakupumulia Kisogoni...
Bado Yupo Kimataifa....
Kashaanza kama Kawaida Kukusanya makombe...La Mapinduzi Kibindoni.
Hata Round ya Kwanza haijaisha Unalalama Simba Kakwama....
Subiri Mwisho...anayecheka Mwishoni ndio Hucheka sana..!
Kombe la Mapinduzi huwa lina gundu.
 
Kombe la Mapinduzi huwa lina gundu.
Ni Kweli hili Kombe Lina Gundu pale tu linapochukuliwa na Utopolo!!...Sio Kwa Mnyama!
Mwaka huu Yanaunganishwa Yote ..
La Mapinduzi.
La FA na
La Premier
Yaani hii inaitwa 'Utatu Mtakatifu'...!
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
Nyie mnapesa hata za kulipa mishahara ya wachezaji hata mwezi mmoja? Nyie kubalini timu mmeshamuuzia muhindi nae kaweka demu wake pale kudhibiti mapato yote, mtulie hivyo hivyo serikali iliwapa somo mkasema isiwapangie sasa serikali inawaadabisha kupitia nyaraka huko mnalia ooh jamaa wa job FCC ni Yanga damu kawakazia timezeni masharti na vigezo. Tuliwaonya mapema kabisa
 
Mo tutamtoa
 
mpira ni kama kampuni na wafanyakazi wake, mfanyakazi akipata kampuni inayolpa vizuri, lazima aondoke na hvyo hvyo kampununi ikipata donge nono lazima iuze bidhaa yake..
ulitaka wachezaji wazeekee hapo ?
 
Nyie mnapesa hata za kulipa mishahara ya wachezaji hata mwezi mmoja? Nyie kubalini timu mmeshamuuzia muhindi nae kaweka demu wake pale kudhibiti mapato yote, mtulie hivyo hivyo serikali iliwapa somo mkasema isiwapangie sasa serikali inawaadabisha kupitia nyaraka huko mnalia ooh jamaa wa job FCC ni Yanga damu kawakazia timezeni masharti na vigezo. Tuliwaonya mapema kabisa
Huyo uliemqoute ni Uto mwenzetu.
 
Back
Top Bottom