Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kwanza mchango wa Uwanja wa MO umetoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makasiriko ya nn mkuu?Utoh acheni kulewa sifa na ushindi wa hizi match10 tulieni.. mwenye advantage na ambaye anapaswa kulinga bado ni simba maana ndo anawawakilisha kimataifa then tayari ana kombe moja la mapinduzi.. nyie mna nini zaidi ya ule ubao wa ngao unaotengenezwa na rafiki zenu tff.. tulieni mambo bado
Mbona povu?Mfano MO aondoke Simba, wewe unaweza kuwekeza Simba?
Kwani mimi sijahoji tu? Pumbavu!Mbona povu?
Yeye kahoji tu.
Sisi waswahili ndio tulivyo, muda wote ni lawama na kuona kama tumeonewa!! Bure kabisa...mawazo yako mgandoHuyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO, jitafakari, usidhani hatukutafakari
Hamna kitu pale. Timu haichezi kama timu mpaka sasa.Sina tatizo na Mo wala wachezaji nina tatizo na huyu Mmadrid, simuelewi kabisa
Wale wachezaji wa Simba wanacheza tu kwa sababu wanajua mpira ila input ya Mwl haionekani kabisa.Hamna kitu pale. Timu haichezi kama timu mpaka sasa.
Nyie si mlimkabidhi timu na mkamruhusu afanye atakaloHuyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO, jitafakari, usidhani hatukutafakari
Kwani kuna kocha mle?Sina tatizo na Mo wala wachezaji nina tatizo na huyu Mmadrid, simuelewi kabisa