Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

Katika ujuha ni kuwapa watu asilimia 51 huku hawachangii chochote hizo asilimia 51 ni kama botion zipo zipo

As long asilimia 51 zipo na hazichangii chochote dewji atatengeneza mazingira ya kuonekana anapata hasara sababu akisema tu anapata faida kuna group la watu wenye 51 wanaenda kupewa gawio kubwa na hakuna walichochangia
 
Naomba na mmi nikulize swali moja ukisha nijibu hili hayo yote jibu lake lipo ndani yake ....swali KIUHALISIA MO ANA MILIKI 49% YA HISA NDANI YA CLUB ..... NA ANAYO FANYA YANAONEKANA JAPO YANA MAPUNGUFU YAKE SAWA.. ...wanachama wao wana miliki 51% swali je wao wana mchango gani kwenye timu? Tuanzie hapo kwanza
 
duhh...umsameeni,ila kuweni makini eti naskia ana undugu na san deo
 
Ukijibiwa
Ukijibiwa niite JIBWA🤣🤣
 
Kwahiyo aondoke au abaki!!?
 
Naona mkuu unalielewa vibaya neno 'Mchango'. Mtu akikuchangia hiyo ni Grant. Pesa hiyo ni Hisani hupashwi kurudisha mchango. Kinachorudishwa ni Mkopo tu
 
Naona mkuu unalielewa vibaya neno 'Mchango'. Mtu akikuchangia hiyo ni Grant. Pesa hiyo ni Hisani hupashwi kurudisha mchango. Kinachorudishwa ni Mkopo tu
Hakuna sehemu MO anatoa mchango, waulize mlio wachagua watawambia kuwa ni deni na mkataba wanaandikishana
 
Naona mkuu unalielewa vibaya neno 'Mchango'. Mtu akikuchangia hiyo ni Grant. Pesa hiyo ni Hisani hupashwi kurudisha mchango. Kinachorudishwa ni Mkopo tu
Nakuelewa vizuri. Nilikuwa narekebisha kuwa mwaka jana kachangia 2.3b na mwaka huu kachangia 3.5. Ingeandikwa katoa au kawakopesha
 
Aisee wewe jamaa utatekwa ufirwe.akishaondoka wewe ndo utaisaidia simba??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…