Mo Dewji vunja benki, tafuta striker wa maana umalize kazi uliyoianza

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani?

Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika mgongo wake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure na kuwachosha sana mabeki wa Simba. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kuwa anafuata nyayo za Saido.
 
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido.
Anahitaji fullback pia, mido tatu na striker
 
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani?

Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure sana mabeki. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido.
Hoja kuhusu Mutale 💯 true. Ni machachari si hatari, anahitaji msasa.
 
Mzee wa Utra Sound.
 
Walivyocheza na APR walimaliza kila maneno na kuona timu yao imekamilika kila eneo na wachezaji wa Yanga watapimwa umri. Leo mara hii wanakuja na kila mada mara wakamsimike Magu, mara wasajili wengine.
Na jana waliminywa vigololi viwili , mshika kibendera akapaka mafuta kimoja..😅
 
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani?

Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure sana mabeki. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido.
Mutale ni mtu mwenye uwezo mdogo sana lakini nashangaa mlibabaika bae siku ile ya APR huyo ni mchezaji anaeweza kucheza mechi ndogo lakini akikutana na wachezaji wanaojua kukaba hawezi kufurukuta..
Pili hata kwa upande wa Ahoua napo bado mna kazi jamaa sio mzuri kwa upande wa kulisha washambuliaji..
 
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani?

Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure sana mabeki. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido.
1723181932262.png

Benki gani? 'BoT' au?

'Msiba' wa safari hii gharama za SANDA 'marehemu' alijiandaa mapema..!!

CC
Kalpana
cocastic
GENTAMYCINE
Lupweko
Tsh
Mshana Jr

And also
CC
Bantu Lady
 
Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita.

Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu ya maana.

Midfield itakaa vizuri wala sina wasiwasi nayo. Kwa upande wa beki, Kapombe na Zimbwe wawe kwenye kwenye rotation, mbadala wao wapo tena wenye viwango, hakuna tena visingizio. Tusikariri kikosi na tujenge ujasiri wa kuweka watu benchi. Kwa kipa tuna Camara, tuna Lakred, tuna Abeid....Mungu atupe nini tena jamani?

Pungufu moja kubwa ambalo linaweza kuja kuicost timu ni uhaba wa striking force. Freddy hawezi kwenda na speed ya hii timu. Imagine Yanga ina options kama Musonda, Dube, Baleke, Mzize, nk. ila Simba hata option ya kwanza bado ina mashaka. Nitampa muda zaidi kidogo Mukwala ila hajaonyesha kama ni katili na mtumiaji mzuri wa nafasi.

Ushauri wangu, kama muda unaruhusu arudi sokoni atafute striker wa maana, atanishukuru baadae. Simba ya sasa ni nzuri sana ila itakwamishwa na ukosefu wa mshambuliaji katili ambaye mambo yakiwa magumu ana uwezo wa kuibeba timu katika migongo yake. Ukosefu wa mshambuliaji tishio utawapa pressure sana mabeki. Wote tuliona leo ilivyofika dakika ya 60 jinsi beki ilivyochoka hadi wakaanza kupoteza umakini na mipira.

Nyongeza, Mutale ana speed nzuri na uwezo wa kupiga chenga ila hana good touch na pia hana good timing kusoma kwa haraka movement na maamuzi ya mtu anayemkaba. Hilo inabidi lifanyiwe kazi haraka, anaanza kunipa wasiwasi kama anafuata nyayo za Saido.
Ubaya ubweche.
 
Akivunja benki si atashtakiwa, kwanza avunje benki gani.

Yanga hii unaifungaje unaifungaje
Yanga Afrika inafungwaje inafungwaje
Yanga hii unaifungaje unaifungaje
Yanga bingwa anafungwaje inafungwaje
 
Back
Top Bottom