Mo & METL out, tuachie Simba yetu

Na vipi kuhusu Mangungu na Try Again! Tuwapeleke wapi kwa mkopo?
 
Timu za Afrika hasa huku chini ya jangwa la Sahara bila ya kua na tajiri alieweka fedha zake hazitoboi Mamelodi, Mazembe na zingine zimefika pale kwa sababu kuna vibopa wenye ukwasi nyuma yao wameweka mzigo wa maana na wana maanisha wanacho fanya ndio maana zimefika pale zilipo, anachokosea Mo ni anaitumia Simba kutangaza biashara zake tuu lakini kama angewekeza nguvu kama Motsepe na Katumbi sasa hivi Simba ingekua inapigania kombe la afrika
 
MO aondoke Simba ni sawa. Je, baada ya hapo babaako ndio atakuja kuwekeza au unataka baba wa wengine ndio wake?
 
Simba yenu na nani au una uchovu wa kubeti.
 
Bora ukae kimya we mbumbumbu Ushawai saidia TIMU hata elfu 10 ???
Acha ushamba watu tunanunua jezi, tunatoa viingilio vya uwanjani + ada, tunashiriki kwenye harambee mbali af unaliza swali la kijinga.... Japo siungi mkono hoja yake.
 
Sasa awaachie timu yenu ipi wakati hiyo ni timu yake!

Mangungu's ni wacheshi mno.
 
Acha ushamba watu tunanunua jezi, tunatoa viingilio vya uwanjani + ada, tunashiriki kwenye harambee mbali af unaliza swali la kijinga.... Japo siungi mkono hoja yake.
Jezi gani? hiyo midosho wala sio mali ya klabu.
 
Acha ushamba watu tunanunua jezi, tunatoa viingilio vya uwanjani + ada, tunashiriki kwenye harambee mbali af unaliza swali la kijinga.... Japo siungi mkono hoja yake.
Unajua watu wengine ni wapumbavu na wana uelewa mdogo
Sisi mashabiki ndio wadau namba moja wa timu
Sisi ndio walengwa wa mwishi katika biashara ya mpira
Sasa utakua mjinga sana kama utamuambia shabiki wa mpira kwamba hakuna chochote anachochangia kwenye timu, mimi shabiki ndio mlengwa mkuu
Kama hakuna shabiki hakuna mpira wa biashara
 
Eti hiyo midosho ya malonya ndo wanaita jezi.
Mimi nilivunjika moyo kununua jersey baada kile kipindi ambacho vunjabei alileta jersey chache halafu zikawa za kugombania
Yaani una mashabiki zaidi million tano, unashindwa kuwauza jersey angalau mashabiki laki tano
Sijui huwa wanapangaga nini kwenye vikao
 
Na huo ndio mpira sasa....
 
Mo akiondoka, Simba itakufa halafu fisi watapata mlo. Bila Mo kusingekuwa na Benchika, Ayub, Chama, pamoja na preseasons za Uturuki na Dubai.

Wewe ni kama mafala wengine ambao kichwani ni zero kwani hao wawekezaji wengine wamezuiwa kuja kuwekeza simba?
 
Wewe ni kama mafala wengine ambao kichwani ni zero kwani hao wawekezaji wengine wamezuiwa kuja kuwekeza simba?
Tuliza kinyeo hicho, hao wawekezaji wanakujaje wakati mo ndio amehodhi kila kitu
Na ndio mchakato wa mabadiliko umekwama
 
Mo akiondoka, Simba itakufa halafu fisi watapata mlo. Bila Mo kusingekuwa na Benchika, Ayub, Chama, pamoja na preseasons za Uturuki na Dubai.

View attachment 2958392
Mbona manji aliondoka yanga, na yanga bado ipo.. unajua kuna kipindi simba ilikuwa ishuke daraja, yanga ndio wakaiokoa simba.. tuache uoga
 
Mbona manji aliondoka yanga, na yanga bado ipo.. unajua kuna kipindi simba ilikuwa ishuke daraja, yanga ndio wakaiokoa simba.. tuache uoga
Safari hii Yanga hawatatoa msaada huo tena. Ninaelewa Yanga waliscrifice ubingwa na kuwaachia Coastal Union kusudi mteja wao asishushwe daraja. Enzi hizo kweli walikuwa watani wa jadi lakini siyo leo tena.

halafu pia kubuka Manji alipoondoka hali ilivyokuwa Yanga; walitembeza bakuli na kufungiwa kwenye magest (alikuwa hawafikii mahotelini tena bali walikuwa wa gest), na usafir wao ulikuwa wa basi, siyo sasa hivi wanvyochomoka na ndege kwende popote ispokuwa Tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…