Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 245
- 473
- Thread starter
- #81
Ukweli lazima usemweSimba yak9 na nani?
Tuwekee ushahidi wa hisa zako.
Kama huna hisa baki kuwa mnazi tu, usijidanganye kuwa simba ni yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli lazima usemweSimba yak9 na nani?
Tuwekee ushahidi wa hisa zako.
Kama huna hisa baki kuwa mnazi tu, usijidanganye kuwa simba ni yako.
Mimi ni shabiki kindakindaki wa simba, nina haki ya kuhoji,Simba yak9 na nani?
Tuwekee ushahidi wa hisa zako.
Kama huna hisa baki kuwa mnazi tu, usijidanganye kuwa simba ni yako.
Simba haitainuka tena hadi mo afe.Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.
Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili
1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji
Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.
Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.
Nawasilisha
Huna hisa baki kuwa shabiki tu.Mimi ni shabiki kindakindaki wa simba, nina haki ya kuhoji,
Lakini sio kufungwa kila sikuHuna hisa baki kuwa shabiki tu.
Mkishinda cheka, mkifungwa lia.
.ingekuwa na hisa kama za Mo ungeelewa namna biashara za football zinavyofanyika.
Kwa kukujuza tu; biashara ya football si lazima timu yako ishinde kila siku ndiyo utengeneze pesa, kuna kutengeneza pesa kwenye kushindwa pia.
Mkuu sikumbuki numbers ila ile video ilitembea sana alikuwa kwenye interview huko mbele mbele waliiona watakuja kushuhudia hapa nadhan alisema ametumia dola milion 20 kama billion 51 za kitanzania na anasema simba ni Mali yake mwaka wa tano huu, itafute video you tube me siweki link hapaMo ameinunua Simba kwa shillingi ngapi??
Yani we kufika robo fainali mara tano unachukulia poa sana,,, acha hizo mambo bana.. Mo hana shida ila kuna wazee wa simba pale ndio wanataka kula hela tu,, walifanya figisu hafi Babra akatoka kisa alikua anasimamia vizur mpunga wa MO,,
Ninafurahi sana, kuona mashabiki wanaanza kuwa na akili. Mo ni kirusi. Mo ni chupli chuoli.uwekezaji wa simba mo ni wa hovyo kupitiliza
Wewe umechangia kiasi gani kwenye uendeshaji wa Simba?Wadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.
Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili
1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji
Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.
Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.
Nawasilisha
Naunga mkono hojaWadau na wapenzi wa simba sport club naomba tuungane, katika kampeni hii ya kumshinikiza mo na kampuni yao ya METL kuondoka Simba, ili kupisha wawekezaji wengine.
Ni ukweli usiopingika kwamba uwekezaji wa mo na kampuni yao ya metl katika club yetu pendwa simba sport club hauna tija, hauna faida kwa simba na pia haueleweki
Tunahitaji kuwa wawekezaji wengi, ili
1. Kuwa na mtaji mkubwa,
2. Kuleta uwazi na uwajibikaji katika uendeshaji wa timu kwa sababu viongozi hawatakuwa vibaraka mwekezaji
Tunataka wawekezaji watakao weka hela mezani na sio kwenda kununua bond bot halafu ile fida ndio uilete kuendeshea timu, huu ni uwekezaji ambao hauna tija.
Muwekezaji akitumia brand ya simba kwenye bidhaa zake anatakiwa kulipia, na ashindanishwe na makampuni mengine, kama akikosa basi.
Nawasilisha
Mashibiki Bora wataichangia timu kwa kinyakyusa tunasema to support the time in man kindMiaka ile ya mabadiliko msisistizo wetu mkubwa ulikuwa.
1. Uwekezaji bora
2. Uongozi bora.
3. Wachezaji Bora.
Timu haiendeshwi kwa michango sio harusi hio! Ndio maana Mo anadai hela yake hakua anatoa sadakaWewe umechangia kiasi gani kwenye uendeshaji wa Simba?