Mo & METL out, tuachie Simba yetu

MO akikuachieni timu halafu mkaifanyie nini? Au kwa kuwa inaitwa Simba mnadhani ni Mnyama hivyo Mtachinja ili mgawane nyama?
 
Duh hapa Kodi ya chumba sijalipa,,kila siku natoa elfu tatu ya kijana wangu kwenda shule..
Ratiba ya kula nyumbani ni mara mbili tuu
Halafu Kuna mpuuzi anataka anibebeshe zigo la Simba!!!
Mo Dewji endelea tuuuuuuu!
 
Na sisi inabidi tupitie kipindi kama hicho ili tusifanye, ili tupate akili ya kurekebisaha haya makosa
Ila haitokuwa kama ilivyokuwa kwa yanga, kwa sababu simba tayari tupo kwenye mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji wa club
Kwa hiyo ni rahisi mwekezaji mpya kuingia,
Mo ndio anaharibu mchakato wa mabadiliko, kwa kulazimisha interest zake ziutawale mchakato wa mabadiliko
Na ki ufupi mo hakuwa smart, gsm kamzidi kwenye hilo,
 
MO akikuachieni timu halafu mkaifanyie nini? Au kwa kuwa inaitwa Simba mnadhani ni Mnyama hivyo Mtachinja ili mgawane nyama?
Kwani mo ndie aliyeianzisha? Yeye si kaukuta, sasa kwani nini ishindwe kwenda mbele
 
Duh hapa Kodi ya chumba sijalipa,,kila siku natoa elfu tatu ya kijana wangu kwenda shule..
Ratiba ya kula nyumbani ni mara mbili tuu
Halafu Kuna mpuuzi anataka anibebeshe zigo la Simba!!!
Mo Dewji endelea tuuuuuuu!
Kama mwanaume unashindwa kulipa kodi, njoo nikuoe, utakaa bure, na kule bure, ila uwe tayari kunizalia mapacha
 
Kama mwanaume unashindwa kulipa kodi, njoo nikuoe, utakaa bure, na kule bure, ila uwe tayari kunizalia mapacha
Ndugu wape Simba wapate pesa ya usajiri sio kila siku wanaleta magarasa.
Then hyo michezo yenu ya kuona nenda roman Catholic,,,shoga wenu mkuu papa ameshawabariki
 
Umenyimwa mkopo wa Piki Piki nini, sports ni business ni muda sasa hizi timu za wananchi Ili ziweze kufika mbali kuwa private owned ,hivi vizee vya Simba na yanga vyenye hisa ni matatizo
 
Lakini sio mo
Ukienda Zanzibar ukakutana na Ahmada basi ujue huyohuyo ndiye Hamad or Ahmed na na huko mjini kwenu ukiamua kwenda Rufiji au Bagamoyo kwenda kutembelea nyumbani kwa yule rafiki yako aitwaye Mohammed au Mo, basi ukifika huko kwao ulizia kwa akina Mwamedi utafika, hakuna anayefamfahamu Mohammed au MO.
 
Yaani comment kama hizi lazima ww ni sehemu ya wapigaji, huwez fananisha management ya Yanga kwa Simba, wachezaji Yanga inaowasajili wako vizuri, wananguvu na morali sio Simba utumbo mtupu
 
Pesa ya kuendesha Simba huna wewe mlala Hoi, kula kande kalale
 
Simba imejaa wastaafu na wanasiasa waliokosa ubunge wanawaza matumbo yao, mimi simba ila hakuna mwenye akili ya mpira simba kumshinda Eng. Hersi.
 
GSM kaja juzi tu ila kila mwaka Yanga inapiga hatua, ahadi zilizowekwa Simba zimekuwa wimbo wa Taifa kila mwaka, watu wancheza na fursa mwambie aondoke simba uone kama itakosa mwekezaji.
 
Pesa ya kuendesha Simba huna wewe mlala Hoi, kula kande kalale
Mkuu ambalo hulijui, uwezekaji wote unafanyika sehemu yoyote ile, walengwa wakuu ni sisi watumiaji
Kwa upande wa mpira, ni sisi mashabiki, hizo billions zinazowekwa, sisi ndio tunazirudisha,
Kwa ufupi kama hamna mashabiki hamna mpira wa biashara..labda kama haujui biashara ndio unaweza kuongea huo utumbo
 
GSM kaja juzi tu ila kila mwaka Yanga inapiga hatua, ahadi zilizowekwa Simba zimekuwa wimbo wa Taifa kila mwaka, watu wancheza na fursa mwambie aondoke simba uone kama itakosa mwekezaji.
Umenena jamba kubwa sana mkuu, kwa ufupi uwekezaji ulifanyika simba hauna tija, na sio endelevu
 
Mo ameinunua Simba kwa shillingi ngapi??
 
Simba yak9 na nani?

Tuwekee ushahidi wa hisa zako.

Kama huna hisa baki kuwa mnazi tu, usijidanganye kuwa simba ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…