Mo & METL out, tuachie Simba yetu

Simba yak9 na nani?

Tuwekee ushahidi wa hisa zako.

Kama huna hisa baki kuwa mnazi tu, usijidanganye kuwa simba ni yako.
Mimi ni shabiki kindakindaki wa simba, nina haki ya kuhoji,
 
Alichokielezea lwambano, ndio ninacholilalamikia
Uwekezaji mbovu ndani ya simba sport club
Uwekezaji mbovu, umeleta wachezaji wabovu na viongozi wabovu
 
Simba haitainuka tena hadi mo afe.
Ameing'ang'ania timu na hana msaada nayo.Anatakiwa Rais mfano wa Magufuli ili amteke na ateswe hadi aseme ni kwa nini anaing'ang'ania timu na hataki kuweka pesa ya kutosha.
 
Mimi ni shabiki kindakindaki wa simba, nina haki ya kuhoji,
Huna hisa baki kuwa shabiki tu.

Mkishinda cheka, mkifungwa lia.
.ingekuwa na hisa kama za Mo ungeelewa namna biashara za football zinavyofanyika.

Kwa kukujuza tu; biashara ya football si lazima timu yako ishinde kila siku ndiyo utengeneze pesa, kuna kutengeneza pesa kwenye kushindwa pia.
 
Lakini sio kufungwa kila siku
 
Yaani wanapiga kwenye mshono, safi sana, lazima ukweli usemwe
 
Mo ameinunua Simba kwa shillingi ngapi??
Mkuu sikumbuki numbers ila ile video ilitembea sana alikuwa kwenye interview huko mbele mbele waliiona watakuja kushuhudia hapa nadhan alisema ametumia dola milion 20 kama billion 51 za kitanzania na anasema simba ni Mali yake mwaka wa tano huu, itafute video you tube me siweki link hapa
 
Yani we kufika robo fainali mara tano unachukulia poa sana,,, acha hizo mambo bana.. Mo hana shida ila kuna wazee wa simba pale ndio wanataka kula hela tu,, walifanya figisu hafi Babra akatoka kisa alikua anasimamia vizur mpunga wa MO,,
 
 
Wewe umechangia kiasi gani kwenye uendeshaji wa Simba?
 
Naunga mkono hoja
 
Wewe umechangia kiasi gani kwenye uendeshaji wa Simba?
Timu haiendeshwi kwa michango sio harusi hio! Ndio maana Mo anadai hela yake hakua anatoa sadaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…